Sikubaliani na makosa ya waamuz sana sana ya makusudi au ya kutokua na uwelewaa wa sheria au kanuni ,lkn pia si kwel kwamba tanzania tu ndio marefa wake wanakosea sana ,kama tff au nchi ni lazma ijitafakal kujua nn tatzo , matatzo aya aya tunayoyasema ndio chanzo cha waamuzi wetu kutoitwa kimataifa ndio ayo ayo tunayaona kila siku kupitia ligi mbali mbali, tena kuna nchi marefa wake wana matatzo zaid ya aya yetu lkn bado wanatoa waamuz , mfano yule mwamuz wa ghana na south africa je caf ilifanya nn au nchi yake ilifanya nn ,ndio waamuz wetu wana matatzo meng lkn je tujiulze hawa marefa wetu tu ndio wanakosea mara ngap tunaona apa apa africa mechi inavunjika au kuvurugika kisa maamuz ya hawa hawa marefa ambao kila siku tunaambiwa wetu wana wana makosa