Hawa ni wachambuzi bora wa mpira kwa sasa Tanzania. Pongezi zao

3.dr likii
4.wale wa klauzi
5.edokumwembe
6. Wa tbcfm
7.wa redio frii
 
Mwl Kashasha kiboko yao huyu mzee anajua kwa kweli.
 
Reactions: dtj
Yaani hao mashabiki wa yanga unawaita wachambuzi..? unamjua kashasha wewe?
 
Mwalimu Alex Kashasha, Haji Mwinyi alitaka kufanya nini pale?

Kashasha: Haji Mwinyi alikuwa na nia nzuri, lakini uwezo wake na alichotaka kukifanya haviendani, H Mwinyi lazima akubali uwezo wake bado mdogo na aache kulazimisha mambo. Kwako Jesse
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…