Hawa ni wachambuzi bora wa mpira kwa sasa Tanzania. Pongezi zao

Hawa ni wachambuzi bora wa mpira kwa sasa Tanzania. Pongezi zao

Mtangazaji :Mwalimu kashasha ile inaitwaje kitaalamu

Kashasha: ile inaitwa spoon ball kick ambayo mara nyingi huwa inawapa shida sana mabeki kuizuia..

Mtangazaji: vipi na ile ya kichuya

Kashasha: ile huwa hatufundishi ila kitaalamu inaitwa snake ball pass ambayo huwa na madhara sana kwa timu pinzani hasa inapotokea kwenye eneo la hatari

Kashasha huwa ananifurahisha sana.. Yaan hakuna kitu atakachoshindws kukusema kitaalamu kinaitwaje
Anapatikana tv au redio gan
 
Kuna jamaa yuko Magic anaitwa George kama sikosei dogo yuko vizuri.
 
Ni kipnd cha mpira tu... Wakat mechi zikiwa uwanjan ndo utamsikia mwalim kashaha akiwa na jease john au enok bwigane....

Samsung note7
 
Kuna wale waliokuwa wanatangaza times fm, akina Cliford Mario Ndimbo, Joseph Mwakasungura, nk.
Kipindi cha Dokodoko za Wizara ya Michezo.
 
Mwalimu Alex Kashasha, Haji Mwinyi alitaka kufanya nini pale?

Kashasha: Haji Mwinyi alikuwa na nia nzuri, lakini uwezo wake na alichotaka kukifanya haviendani, H Mwinyi lazima akubali uwezo wake bado mdogo na aache kulazimisha mambo. Kwako Jesse
Haa ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom