Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Anapatikana tv au redio ganMtangazaji :Mwalimu kashasha ile inaitwaje kitaalamu
Kashasha: ile inaitwa spoon ball kick ambayo mara nyingi huwa inawapa shida sana mabeki kuizuia..
Mtangazaji: vipi na ile ya kichuya
Kashasha: ile huwa hatufundishi ila kitaalamu inaitwa snake ball pass ambayo huwa na madhara sana kwa timu pinzani hasa inapotokea kwenye eneo la hatari
Kashasha huwa ananifurahisha sana.. Yaan hakuna kitu atakachoshindws kukusema kitaalamu kinaitwaje