Hawa ni wachambuzi bora wa mpira kwa sasa Tanzania. Pongezi zao

Ni kupenda kile walichosomea ndio maana kila kukicha wanaonekana wameiva kwa kile wanachokifanya
 
efm ndo kunawachambuzi wazuri wa soka,clouds kuna wasimuliaji wa historia ya mpira kitu ambacho hata wewe unaweza kukifanya kama umefuatilia mpira kwa mda mrefu
 
Mzee wa ball control,acceleration,accuracy,body balance nk.....salute kwa mwalimu kashasha
 
Klauz kuna wachambuz au wasimuliaji wa matukio ya mpira yaliyotokea uwanjani? shaabaaashhhh!
Ukisema wasimuliaju wa matukio basi wa redio wote ila naungana na wengine Mchambuzi bora kwa sasa ni MWL. KASHASHA
 
Mungu anawaona....
Ina maana MBWIGA AMBWIGUKE hamna analolifanya zaidi ya kupiga mikelele tuu??
Jamani kweeli??
 
Mtangazaji :Mwalimu kashasha ile inaitwaje kitaalamu

Kashasha: ile inaitwa spoon ball kick ambayo mara nyingi huwa inawapa shida sana mabeki kuizuia..

Mtangazaji: vipi na ile ya kichuya

Kashasha: ile huwa hatufundishi ila kitaalamu inaitwa snake ball pass ambayo huwa na madhara sana kwa timu pinzani hasa inapotokea kwenye eneo la hatari

Kashasha huwa ananifurahisha sana.. Yaan hakuna kitu atakachoshindws kukusema kitaalamu kinaitwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…