Mr Nice - Kidali Po, Hii Track ilishika kote kuanzia party za watoto, disco, clubs, MAhafali, n.k. huu moto sidhani kama utakuja kufikiwa.
ana ana ana dooo
kachani ka basto
displine matido
lalalalalahhh. ×2
Mb Dogg - Latifah, Huyo ndo King wa kubana pua aliewa inspire kina Ali Kiba, Z anto, n.k. nyimbo ilihit kuelekea mwaka mzima
maneno mengi yamesemwa juu yako
et kuna kitu honie umenifanyia
mganga sio sababu nimekuja kwako
ila Mimi mwenyew nimekuchagua
nakutafuta niiyone sura ykooo
nakutaman niwe kalibu yakoo
Ali Kiba - Cinderella,
Watu wameanzia mbali saana wanastahili heshma kubwa, 2004 Alikiba alitoa hit iliyoshika chati kwa muda mrefu,
Mara ya mwisho mimi na wewe
Kuonana kipindi kile twasoma
Shule ya msingi kigoma (Yahe Yahe)
Najua ulinipenda
Ila hukutaka penzi kulilinda
Ungesema mapema
Hussein Machozi - Utaipenda, Ilikuwa too much kila ukiwasha Tv iwe startimes, channel 10, eatv, ni hussein Machozi, Muda huo bado ana ngoma nyingine inahit inaitwa full shangwe,
Kwa moyo, kwa chuki utaipenda (yeah)
Utaipenda (leo), utaipenda oh-oh-oh
Kwa chuki, kwa moyo utaipenda (yeah)
Utaipenda (leo), utaipenda
Darassa - Muziki, Bla bla bla za wasanii wakubwa sitaki kuskia, Kama kuna kipindi Darasa alifanya shows nyingi maishani mwake basi ni muda alitoa hii ngoma, hakuwa na jina kubwa sana ila kazi yake ilitikisa
Maisha na Muziki,
Acha maneno weka muziki,
Ukiwa safi ukiwa happy
ukiwa juu ukiwa chini piga muziki
Safari na muziki acha maneno weka muziki