Hawa ni Watangazaji wa Zamani wa Radio Tanzania-RTD

Hawa ni Watangazaji wa Zamani wa Radio Tanzania-RTD

Kama mkiweza kuweka na picha ya Watangazaji mnaowajua itapendeza zaidi. Picha na jina la Mtangazaji.

Wakati huo radio zilizotumika alimaarufu kama redio za phillps, national, panasonic na National panasonic au maarufu kwa jina la dudu proof
Orodha ya Majina haya hapa:
Abdallah Iddrissa Majura–Michezo
Abdallah Mlawa—Kijaruba, Ombi lako
Abdul Ngarawa -Taarifa ya Habari & Mazungumzo baada ya habari
Abisai Steven
Abou Liongo–Michezo
Ahmed Jongo–(Mpira, na mnazi wa kutupwa wa yeboyebo)
Ahmed Kipozi–Mpira
Alex Malumwene
Aloycea Maneno- Ombi lako, cheichei Shangazi, mama na mwana
Ananilea Nkya Twende na Wakati, Jinsia, Utawala Bora, Harakati
Bakari Msulwa- Salam
Barbabas Mluge
Bathoromeo Kombwa (bati Kombwa) – WAkati wa Kazi
Bazir Mbakile
Beni Kiko (“Benjamin Kikomongo”) jina lake halisi ni Bakari Kikoloma. –Enzi za vita ya Nduli
Benjamin Rwegasila
Bety Mkwassa – Kabla hajahamia ITV
Bhaat Kombwa–Wagonjwa mahospitalini, Wakati wa Kazi
Bujago Izengo wa Kadago
Charles Hillary–Mpira
Chillambo Dominic—Mpira..”…Fuuumo Felician…Nafasi kama ile….”
Chisunga Steven- kipindi cha ugua pole
Chriss Katembo
Christina Chokunogela
David Wakati–Duniani Wiki Hii
Deborah Mwenda–Mama na mwana–wanawake na maendeleo
Dominic Chilambo- Mpira
Edda Sanga
Fauziah Ismal-Habari
Hannah Gogo Mayige-Habari
Harid Ponela – club raha leo show
Hassan Mkumba- matangazo ya vifo
Hendri Michael Libuda- Misakato
Iddi Rashid Mchata
Idrisa Sadala
Jacob Tesha–Habari
Japhet Muura.
Julius Nyaissanga–Club Raha Leo Show
Juma Ngondai
Khalid Ponera- Zilipendwa
Kissunga Steven–Kwetu Kigoma
Leonald Mambo Mbotela
Malima Nderema
Mariam Shabba–Mambo ya jamii
Martha Ngwira
Michael Katembo na vipindi vyake vya Mkoa kwa mkoa, Tumbuizo asilia, Ngoma, Asilia Salam
Mohamed Abdullhamaan–Michezo
Mohamed Amani (Mohamed Dahman)
Mohamed Ngayonga–Mchana Mwema
Mshindo Mkeyenge–MichezoMpira
Nassoro Nsekeli
Nassoro Nsekeli- alikuwa na sauti kama ya mafua hivi alikuwa mtaalamu wa kipindi cha Majira- ndiye aliyetangaza kifo cha Nico Zengekala
Nazir Mayoka–Mpira
Nswima Ernest – Nyanda za Juu Kusini
Paschal Mayalla–Habari(anikumbushe mwenyewe ni mwana jukwaa)
Penzi Nyamungumi = Fundi mitambo – Mtangazaji
Peter Msungu–Mbili Kasoro
Rashid Mchata
Restuta Bukoli
Richard Leo
Rochus Matipa – External Service RTD
Rose Haji
Salama Mfamao
Salim Mbonde–Mpira
Salim Seif Nkamba –Mikingamo–twambie nani yuko wapi anafanya nini katika kuhujumu uchumi
Sango Kipozi–Habari
Sara Dumba–Mama na Mwana
Sauda Simba maarufu kwa kutangaza taarifa ya habari ya lugha ya kiingereza.
Sekioni Kitojo–Michezo
Seleman Kumchaya–Mchana Mwema
Selemani Mkufya
Simba Nyamaume–Majira
Siwatu Luwanda–Habari
Stan (Stanslaus) Katabalo – cha Majira
Suedi Mwinyi
Suleiman Hega
Suleiman Kumchaya
Suleiman Muhogora
Titus Philipo
Titus Stephen
Tumbo Risasi – Kigoma
Zainab Bakilana
hayupo crispin lugongo na juma bundala mafundi mitambo walikuwa kwenye OB VAN bila kumsahau omar jongo ,
 
Bety Mkwasa kabla hajaolewa na Charles Boniface Mkwasa alikuwa akiitwa Bety Chalamila.

Charles Boniface Mkwasa alikuwa ni mchezaji wa kiungo wa Young Africans, Taifa Stars na baadae akawa kocha.

Pia umemsahau Mikidadi Mahmoud ambae alihamia ITV pamoja na Charles Hilary na Julius Nyaisanga.

Alikuwepo pia Peter Makorongo ambae alikuwa ni msomaji wa taarifa za habari na Omari Jongo.

Na mwisho usiwasahau mafundi mitambo waandamizi wafuatao:
1. Juma Bundala
2. Noel na Maloe
3. Samwel Kunjumu
4. Edward Kwilasa

Vipindi maarufu vya RTD

1. Duniani juma hili.
2. Harakati
3. Majira
4. Taarifa za Habari (saa saba mchana na saa mbili usiku)
 
Masudi Jawewa...
Omar Masud Jawewa. Kijana wa Bagamoyo, Katibu Mwenyezi wa Young Africans. Aliuwawa na ma jambazi nyumbani kwake nadhani Temeke na ulikuwa Mwezi wa Ramadhan ila hawakuchukua chochote. Ilikuwa ni cold blood assassition.
 
Juzi kati tbc walikuwa na events za wakongwe wao hao walio hai. Kina ananilea nkya, pascal mayalla, bety mkwasa tunaona wako na shughuli zingine ila mayalla anaendelea na taaluma yake, ana media yake ya msimu wa sabasaba. Eda sanga ni bosi wa media fulani kama sikosei ni mlimani tv. Wakongwe wengine wapo kwenye media za wilayani kama washauri na wakati mwingine wana vipindi huko
 
Back
Top Bottom