Hawa ni Watangazaji wa Zamani wa Radio Tanzania-RTD

hayupo crispin lugongo na juma bundala mafundi mitambo walikuwa kwenye OB VAN bila kumsahau omar jongo ,
 
Bety Mkwasa kabla hajaolewa na Charles Boniface Mkwasa alikuwa akiitwa Bety Chalamila.

Charles Boniface Mkwasa alikuwa ni mchezaji wa kiungo wa Young Africans, Taifa Stars na baadae akawa kocha.

Pia umemsahau Mikidadi Mahmoud ambae alihamia ITV pamoja na Charles Hilary na Julius Nyaisanga.

Alikuwepo pia Peter Makorongo ambae alikuwa ni msomaji wa taarifa za habari na Omari Jongo.

Na mwisho usiwasahau mafundi mitambo waandamizi wafuatao:
1. Juma Bundala
2. Noel na Maloe
3. Samwel Kunjumu
4. Edward Kwilasa

Vipindi maarufu vya RTD

1. Duniani juma hili.
2. Harakati
3. Majira
4. Taarifa za Habari (saa saba mchana na saa mbili usiku)
 
Masudi Jawewa...
Omar Masud Jawewa. Kijana wa Bagamoyo, Katibu Mwenyezi wa Young Africans. Aliuwawa na ma jambazi nyumbani kwake nadhani Temeke na ulikuwa Mwezi wa Ramadhan ila hawakuchukua chochote. Ilikuwa ni cold blood assassition.
 
Juzi kati tbc walikuwa na events za wakongwe wao hao walio hai. Kina ananilea nkya, pascal mayalla, bety mkwasa tunaona wako na shughuli zingine ila mayalla anaendelea na taaluma yake, ana media yake ya msimu wa sabasaba. Eda sanga ni bosi wa media fulani kama sikosei ni mlimani tv. Wakongwe wengine wapo kwenye media za wilayani kama washauri na wakati mwingine wana vipindi huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…