Holly Star JF-Expert Member Joined Aug 25, 2018 Posts 4,327 Reaction score 8,142 Jan 24, 2024 #281 Akilihuru said: JPM viatu vyake vina wavaa kibao, mmoja wapo ni Makonda. Click to expand... Namkubali sana makonda sema tu anautoto na maigizo ya kishamba bwana
Akilihuru said: JPM viatu vyake vina wavaa kibao, mmoja wapo ni Makonda. Click to expand... Namkubali sana makonda sema tu anautoto na maigizo ya kishamba bwana
Akilihuru JF-Expert Member Joined May 20, 2022 Posts 1,512 Reaction score 2,980 Jan 28, 2024 Thread starter #282 Holly Star said: Namkubali sana makonda sema tu anautoto na maigizo ya kishamba bwana Click to expand... Hilo ndio linamuharibia. Ila nafikiri kuna muda atajitafakari na kutambua makosa yake uliyoyaandika hapa. Baada ya hapo atakuwa amevivaa kikamilifu viatu vya mwamba.
Holly Star said: Namkubali sana makonda sema tu anautoto na maigizo ya kishamba bwana Click to expand... Hilo ndio linamuharibia. Ila nafikiri kuna muda atajitafakari na kutambua makosa yake uliyoyaandika hapa. Baada ya hapo atakuwa amevivaa kikamilifu viatu vya mwamba.
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Apr 7, 2024 #283 RIP Steven Kanumba
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 8,611 Reaction score 16,118 Apr 8, 2024 #284 Hujagusia Kwenye tasnia ya mpira wa miguu