Hawa ni watu (public figures) watano ambao Taifa linapaswa kujivunia

Hawa ni watu (public figures) watano ambao Taifa linapaswa kujivunia

Ushawahi iona video ya msando na gigy money wakiwa kwenye gari kweli wewe mtoa mada?😂😂😂😂😂
 
Katika jamii yoyote ile ni lazima kuwe na watu ambao Taifa linapaswa kujivunia nao. Kwa taifa Leo tumejaaliwa watu wengi ambao tunajivunia nao, Ila kwa Leo nitawazungunzia watano. Kumbuka hakuna binadamu asiye na mapungufu, hivyo suala la mapungufu liweke kando kwanza kwa kuwa hakuna malaika...
Umepata kacheo kamekunyanyua mabega .pole Sana lakini pia punguza ulimbukeni
 
Katika jamii yoyote ile ni lazima kuwe na watu ambao Taifa linapaswa kujivunia nao. Kwa taifa Leo tumejaaliwa watu wengi ambao tunajivunia nao, Ila kwa Leo nitawazungunzia watano. Kumbuka hakuna binadamu asiye na mapungufu...
HAKUNA hata wa maana wa kujivunia hapo.
 
Hao ni bora labda kwako binafsi...nimekuja mbioooo kumbe ushuzi hakuna kitu takataka tu...
 
Katika jamii yoyote ile ni lazima kuwe na watu ambao Taifa linapaswa kujivunia nao. Kwa taifa Leo tumejaaliwa watu wengi ambao tunajivunia nao, Ila kwa Leo nitawazungunzia watano. Kumbuka hakuna binadamu asiye na mapungufu, hivyo suala la mapungufu liweke kando kwanza kwa kuwa hakuna malaika...
Niki wa Pili naona sasa umekuja kivingine, huu utumbo uliouandika ni wa kipuuzi sana. Nilivyoona ID yako nikaanza ku skip nione kama utajipigia debe mara ghafla bin vuu huyo, in a way inasaidia nadhani hivyo endelea tu.

Nadhani ni mbinu hizi hizi ulizozitumia mpaka kuukwaa u-DC, keep it up.
 
Kumbuka hakuna binadamu asiye na mapungufu, hivyo suala la mapungufu liweke kando kwanza kwa kuwa hakuna malaika.
Hawa watu wana akili sana na inakupasa uwe na akili sana kuwaelewa, ile kwa wale hoyahoya hawawezi kuelewa.
Nice.

Hata wewe mwenyewe unatilia shaka uwezo wa watu uliowaorodhesha na ndio sababu kuu ya kuanza na defense mechanism so to avoid any criticisms you can't avoid.

Sasa mkuu kama mwandishi unatilia shaka watu uliowaandika kwenye thread yako mwenyewe unategemea nini kwa msomaji?
 
Safi sana mkuu, umelikamata jinga moja hili…. umeliwahi kabla halijafuta.[emoji16][emoji16][emoji16]

Fakeni kabisa.
Na ameifuta kweli. Haipo tena. Hawa UVCCM tukiwaita vilaza na misukule,wanasema tunawatukana!!
Huu ni ushahidi wa "multiple ids" na ushahidi wa "ukilaza" wao.
 
Back
Top Bottom