CaptainDunga
JF-Expert Member
- Jul 17, 2009
- 1,572
- 1,379
Kama una uwezo wa kumsaidia…..Msaidie akipona ndo uje kumsimanga.wasanii wengi wapumbavu sana akiwepo na huyo Hawa, pombr kali tena mwanamke na ana mtoto anategemea nini, hajali malezi na carrier yake, hakujali kujitunzia heshima, leo hii analia lia, sijui kwa nini huwa hawajifunzi. Mwanamke gani anakesha bar analewa pombe kali, anavuta bangi/madawa ya kulevya leo hii anakaa anaomba kuhurumiwa, kwa wenye roho ngumu kama mimi huwa tunaishia kusema Mungu amrehemu na amsaidie kadri apendavyo Yeye