Hawa panya hawakuwa wa kawaida kabisa !

Duh,

Kumbe Kobe nao wanatumika,

Nilikuwa na mpango, nifuge Kobe hata wa2 wanisaidie kutrim garden.

Ila kwa ujumbe huu nimegairi, wasije ingroup pamoja
Fuga mkuu
 
Huyo Kobe asingekuga mama angeeishi milele ?
kutaka kubisha... issue ni kwamba kombe ni mnyama anaeishi muda mrefu zaidi...pengine huyo mwanadamu katumia sayansi yake ya giza kuunganisha uhai wake na Kobe ili aweze kushi kama Kobe huyo.. na pengine anatumia sayansi hiyo mambo yasiyo haki.. hivyo huyo kijana kashtukia akatest mitambo kumbe kweli mtu kaenda zake....
 
Sawa, tutabadili mbinu.
Sasa hv hatutotumia panya, tutatumia ngamia 😎
 
Wewe unamawazo ya kishirikina tu!

Uswahili panya ni kwao kama samaki baharini!
Baada ya panya utaanza Kuuua paka, na Kisha utaanza Kuuua majirani!
 
Wewe unamawazo ya kishirikina tu!

Uswahili panya ni kwao kama samaki baharini!
Baada ya panya utaanza Kuuua paka, na Kisha utaanza Kuuua majirani!
Tambua kila kitu kina polarity.

Hata wewe hapo unaweza kutumika kuponya na kuua, kutengeneza na kuharibu, kujenga na kubomoa.

Mawazo ya mwanadamu katika ulimwengu wa mwili yana sehemu, expansion na construction. Upendo hujenga, chuki hubomoa.

Ukishakuwa na chuki utaanza kutafuta maarifa ya kubomoa, na utayapata. Chukulia unataka kubomoa nyumba ambayo huipendi, lazima utatafuta mafundi wa kubomoa, na lazima utawapata maana wapo.

Endelea kujifanya unajua kila kitu wakati aliekuumba kakwambia everything is possible. Ni jukumu lako kuweka firewall
 
Kwa Imani hizi no wonder ndugu zetu albino walipata shida...
 
Sasa watu wenye albino wameingiaje kwenye haya majadiliano?
Kama tunaweza kuamini kwamba tukimuua Kobe kuna mtu anakuwa ameunganisha maisha yake na huyo Kobe kweli tutaacha kuamini kwamba viungo fulani au watu fulani wana bahati au mikosi ?
 
Kama tunaweza kuamini kwamba tukimuua Kobe kuna mtu anakuwa ameunganisha maisha yake na huyo Kobe kweli tutaacha kuamini kwamba viungo fulani au watu fulani wana bahati au mikosi ?
Nakuuliza tena swali.. masuala ya albino yanahusikaje hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…