Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 87
Unazungumzia kuwekwa rumande au kushikiliwa kwa mahojiano? Naona mnachanganya mambo hapa.
Naomba tusilaumiane huko mbeleni.
Let me give you a rule by Mafioso "Anybody who means business doesn't use threats gets up and does what he has to do. Or still, borrow a leaf from Clint Easstwood's movie 'The Good, the Bad and the Ugly'; "If you have come to shoot just shoot... Don't tal, talk."
Mtu mzima hatishiwi nyau.Najua wengine hapa ni wafuata upeopo watu wa wakuitikia kiitikio cha hata wimbo msioujua. Hiyo hainisumbui. Karibu.
Sasa na wewe naye tusi hapo ni lipi?Mkuu mi sioni sababu ya kumtukana jamaa kwa comment zake.
Una uhakika gani kama kakimbia? Kwa nini haufikiri kwamba yawezekana amepatwa na majanga (katekwa au kauawa) na wauwaji wa mke wa balozi.Wa jameni msilaumu polisi katika hatua hii pamoja na mazingira ya mauaji haya. Mtu anavyomrecomend mtu ni kwa sababu anamfahamu. Hivyo basi ili apatikane ni lazima yeye anayemfahamu atusaidie kwa kiasi gani anamfahamu ili wapelelezi waweze kumpata kutokana na taarifa ambazo atawapatia. Na kwa kuwa mtu amefariki wakimuacha huru kwa kipindi hiki ni rahisi na yeye kutoroka na habari za mtuhumiwa zikashindikana kupatikana kirahisi.
Hivyo basi tuwaachie polisi wafanye kazi yao kwa muda. Huyu "contact" akitoa ushirikiano naamini watamuachia tu baada ya muda. Haya mambo tusiyachukulie kwa jazba. Hata kama CCTV ingekuwepo ingeonyesha tukio tu isingeonyesha mtu ameelekea wapi. Na kwa mazingira halisi huyu houseboy kama hajahusika kwa nini akimbie. Yeye ndio angekuwa wa kwanza kutoa taarifa hizo hata kwa majirani.
Sidhani kama unaweza kumshikilia mtu kwa mahojiano kwa zaidi ya masaa 24. Baada ya hapo ni mahakamani au aachiwe huru. Na je hayo mahojiano yanafanyika wakati wakili wa shahidi akiwepo?
Amandla.......
Sasa endelea basi, kama hukutishika.Mtu mzima hatishiwi nyau.
Mh, ni wangapi kati yetu wana mawakili? au hata kujua kwamba ipo haki ya kuhojiwa mbele ya wakili wako? Lakini hili si kosa la polisi, huwezi kuwatupia mzigo huu polisi, maana itakua kichekesho.
Kuhusu kumshikilia mtu kwa mahojiano sijui sheria inasemaje kuhusu timeframe, maana ninavyojua mtu akishukiwa ndio anapewa muda fulani wa kukaa rumande kabla ya kupelekwa mahakamani, lakini kwa mahojiano sijui muda ukoje. Hata hivo ktk kadhia sijapata hasa nini kilijiri maana naona mambo mengi hapa yameanzia kwenye conclusion na kuja kinyumenyume.
Ni hayo tu kamanda.
Scenarios ni nyingi tu katika tukio hili la kusikitisha:
1) Mfanyakazi wa ndani alishirikiana na watu wengine katika tukio.
2) Mfanyakazi wa ndani alifanya mauaji haya peke yake. apa vile vile inawezekana alifanya kwa makusudi au bila kukusidia.
3) Mfanyakazi wa ndani alishirikiana na jamaa ambao baada ya tukio wamemuua nae ili kupoteza ushahidi au kujiongezea mgao.
4)Mfanyakazi hakuhusika kabisa lakini alikimbia kwa kutambua kuwa kwa vyovyote vile yeye ndiye atakayebebeshwa mzigo wote.
Amandla......
Wewe jamaa inaonekana akili yako ina chongo maana hata siyo makengeza. Polisi wa Tanania wamesomea wapi? CCP? Kwenye hili jambo siyo swala la kwata (ambayo ndio wametumia ni busara za kawaida tu. Kwa hiyo unataka mnyororo urefushwe hadi kwa wazazi wake maana kwa mtazamo wako wana makosa mawili. Mosi kumzaa na pili kutoa ruhusa akafanye kazi kwa balozi. Hapa pia ongeza na karani aliyemuuzia tiketi ya basi, dereva wa basi aliyemleta mjini.umalizie na balozi mwenyewe aliyempa ajira.
Ningekuwa mimi ndio naongoza upelelezi mtu wa kwanza kumpa kizaa zaa ni dereva wa Balozi!
Kwa nini umpe yeye kizaazaa wakati hakuwepo hapo muda unaosadikika kuwa mauaji hayo ndio yalifanyika?
Well.. angalia jibu hili jipya...
Na Haruni Sanchawa
.....
Kwa upande wake Balozi Daraja alipoongea na Mwandishi Wetu alisema kuwa, alikuwa safarini na siku aliporejea aliukuta mwili wa mkewe ukiwa umelala nyuma ya nyumba ukiwa amechomwa kisu kifuani.
Balozi Daraja alisema kuwa, upekuzi uliofanywa na polisi uligundua kuwa, kitu kilichochukuliwa ni pesa kiasi cha shilingi milioni mbili tu, kwa pembeni kukiwa na silaha.
http://www.globalpublisherstz.com/
ndiyo sababu ningemtia pingu huyo dereva.. na huyo aliyemrecommend aachiliwe tu kwani huyo Mabakuri hawezi KAMWE kupatikana.
Na Haruni Sanchawa
Bosi wa Tanzania Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa amewabana mahausigeli na mahausiboi akitaka wasipewe ajira bila kuwa na mafaili yenye rekodi inayoonesha maeneo wanayoweza kupatikana punde wanapoharibu kwa waajiri wao na kuingia mitini.... Mheshimiwa Mkapa aliyasema hayo Jumatano iliyopita, kwenye msiba kwa Balozi Mstaafu, Andrew Daraja ambapo shambaboi, James Maburu anatuhumiwa kumuua kwa kumchoma na kisu mke wa balozi huyo.
Akiongea katika hali ya masikitiko na majonzi mazito wakati akiagana na baadhi ya waombolezaji, Mkapa alisema iko haja kwa waajiri wa wafanyakazi wa ndani kuhakikisha kila anayeajiriwa (hausigeli, hausiboi) anafunguliwa ‘faili' lenye vielelezo vyote vitakavyowezesha kupatikana kwake punde inapotokea anafanya uhalifu na kukimbia.
Huyu chinga naee..aarggh.
Waajiriwa wenu tu serikalini mnashindwa kueka rekodi zao sawasawa, ndio mtawaweza hawa mahaus help ambao kwanza wanakuwa under-employed na manyanyaso kibao, ambayo machozi yake ni ya samaki?