Hawa rockfeller ni kina nani?Ni kweli USA kuna invisible government?

Ray waniache

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
737
Reaction score
507
Ndugu wanajf wenzangu
Wapenzi wa jukwa la intelligence
Nimekua msomaji wa mambo mengi mtandaoni ni nimekua nikijifunza mengi na kufahamu pia
Leo nawaulizia hawa rockfeller family ambao inasemekana kama ifuatavyo:-
Kwamba wao ndo wanamiliki uchumi wa dunia kupitia dola na rasilimali zote
Wana maamuzi kuhusu mambo yote duniani
Inasemekana kwao wao ndo wanamiliki federal reserve ya marekani
Rais yoyote akiingia marekani lazima akubaliane nao
Ndo wanacontrol dunia
Wana ajenda ya siri juu ya dunia na ndo wanaitumia UN kama chombo chao.Inasemekana UN ipo kwa ajili yao
Vita vingi duniani wameshiriki kupitia mgongo wa serikali ya marekani ambapo wameiweka wao
Inasemekana marekani kuna visible na invisible gov't na invisible govt ndo wao na ndo kila kitu kuhusu uchumi wa marekani na dunia
Ni waasisi na wapo na mkakati wa new world order
Wao ndio wanaodhoofisha nchi nyingi zinazoendelea na kuzifanya kuwa masikini na tegemezi kupitia mifumo yao ya unyonyaji
Inasemekana asilimia kubwa ya mabenk ni yao
Rockfeller family ndo wanaoendeleza mpango wa depopulation duniani na wanadhibiti idadi ya watu kupungua sambamba na kuandaa mikakati ya kupunguza watu kama vita,njaa na magonjwa.
3853175632a2d840e5861142356b42b9.jpg
65836986d9012d5e2cf63a39f57ff651.jpg
acd712600d4937ca53ce1ce1816892d1.jpg

Nimeambatanisha na baadhi ya links
David Rockefeller: An Immoral Life of Evil and Treason
A Face of Evil dies with David Rockefeller [Videos]
Kuna na hii video ya youtube nilitazama kiukweli ilinishtua sana kuhusu david rockfeller

Wajuzi wa mambo haya mambo ni ya kweli au ni maneno wa watu tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUU NGOJA WAJUZI WAJE
 
"Tunashukuru kwa Washington Post, New York Times, Time Magazine na machapisho mengine makubwa ambao wakurugenzi wao wamehudhuria mikutano yetu na
Waliheshimu ahadi zao za busara kwa karibu miaka arobaini [a .k .a.Kuweka umma wa Marekani bila kujulikana] ... Haikuwa vigumu kwetu kuendeleza mpango wetu wa ulimwengu ikiwa tumekuwa na taa za utangazaji wakati wa miaka hiyo, "alisema katika mkutano wa Bilderberg wa 1991. "Lakini, ulimwengu ni wa kisasa zaidi na tayari kutembea kuelekea serikali ya ulimwengu."
"The supranational
Uhuru wa wasomi wa kitaaluma na mabenki ya dunia ni hakika ya kupendekezwa na uamuzi wa kitaifa unaofanywa katika karne zilizopita. "
- David Rockefeller

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hisani ya googleTranslator
 
Bila Kumsahau Boss wake Mayer Rothschild ndie aliyemnyenyua same people
 
Yote hayo yalisha jadiliwa humu kwenye uzi uliowekwa hapo juu na mkuu Jambazi..
Wakuu Juve 2013 na Eiyer washatufafanulia..

Ila mkuu hata ww ni mwenzao maana wao ndo wanautetea ushoga wako!
 
Ndugu wanajf wenzangu
Wapenzi wa jukwa la intelligence
Nimekua msomaji wa mambo mengi mtandaoni ni nimekua nikijifunza mengi na kufahamu pia
Leo nawaulizia hawa rockfeller family ambao inasemekana kama ifuatavyo:-
Kwamba wao ndo wanamiliki uchumi wa dunia kupitia dola na rasilimali zote
Wana maamuzi kuhusu mambo yote duniani
Inasemekana kwao wao ndo wanamiliki federal reserve ya marekani
Rais yoyote akiingia marekani lazima akubaliane nao
Ndo wanacontrol dunia
Wana ajenda ya siri juu ya dunia na ndo wanaitumia UN kama chombo chao.Inasemekana UN ipo kwa ajili yao
Vita vingi duniani wameshiriki kupitia mgongo wa serikali ya marekani ambapo wameiweka wao
Inasemekana marekani kuna visible na invisible gov't na invisible govt ndo wao na ndo kila kitu kuhusu uchumi wa marekani na dunia
Ni waasisi na wapo na mkakati wa new world order
Wao ndio wanaodhoofisha nchi nyingi zinazoendelea na kuzifanya kuwa masikini na tegemezi kupitia mifumo yao ya unyonyaji
Inasemekana asilimia kubwa ya mabenk ni yao
Rockfeller family ndo wanaoendeleza mpango wa depopulation duniani na wanadhibiti idadi ya watu kupungua sambamba na kuandaa mikakati ya kupunguza watu kama vita,njaa na magonjwa.
3853175632a2d840e5861142356b42b9.jpg
65836986d9012d5e2cf63a39f57ff651.jpg
acd712600d4937ca53ce1ce1816892d1.jpg

Nimeambatanisha na baadhi ya links
David Rockefeller: An Immoral Life of Evil and Treason
A Face of Evil dies with David Rockefeller [Videos]
Kuna na hii video ya youtube nilitazama kiukweli ilinishtua sana kuhusu david rockfeller

Wajuzi wa mambo haya mambo ni ya kweli au ni maneno wa watu tu?

Sent using Jamii Forums mobile app

New World Order... Hii kitu nliisikia hata kwa Bush kipibdi kile cha september 11, ni kati ya mipango ambayo ipo mbioni ya kuifanya dunia iwe chini ya Uongozi na Dini moja.! Haya mambo yote yapo kwenye unabii na yatakuja ili kuifunga historia ya ulimwengu, utasikia na mengne mengi ukiachana na matetemeko, tetesi za vita, umasikini, upendo wa wengi kupoa na mengine mengi kama ya mipango ya jesuits kwenye mambo ya madawa na vyakula, na kwenye vyakula utakuta jambo la mbegu za hybrid ambazo ndo zinatumika ili kuleta umasikini na uharibifu wa ardhi cause zenyewe ukishavuna hauwezi zipanda tena soo at last umasikini unatawala na mbegu za natural zinapotea sasa hapo uta expect kuomba misaada na kupangiwa masharti ya kuambiwa uabudu nin na tamaduni flani za watu kupingwa na kuambiwa waige za western people.! Soma BIBLIA na vitabu vya Unabii utaona yote hayo hayana budi kutokea ili ule mwisho uje.
 
Bila Kumsahau Boss wake Mayor Rothschild ndie aliyemnyenyua same people
Huyu ndio aliyetamka kuwa ''Give me control over a nations currency,i dontcare who makes the law'' hawa ndio wataalam wa kuzibambikia nchi madeni,wao wanawapa makaratasi wao wanachukua dhahabu
 
Back
Top Bottom