kenstar
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,276
- 1,443
Ila mwisho wa yote ni kifo wameshindwa kukicontrol,unaweza tawala dunia yote isipokuwa kifo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah hatari sana.MKUU katika kitu najutia hapa Jf ni kufanana jina na Huyu shoga aisee I wish Could be Mod..
Rothschild family kwani hata mtaji wa Rockefeller asili yake ni Rothschild. Hawa Jamaa ni Mfumo tu wa Pesa na Mfumo wa Kujilinda ukijiunga nao wanahamisha matrillion ya kutosha and then wanajificha nyuma yako endapo watabanwa basi wanakuwa wanahemea side nyingine na kufight back... Wana Mitaasisi yote ya fedha Duniani wanazicontroll Bank kuu zote kasoro ya Iran,Cuba na Sudan ila nimesikia Sudan kesharegea na Cuba alikuwa mbioni time ya Obama Iran Matatizo yote aliyonayo yanasababishwa nao.... Rothschild ni empire kubwa sana yaani biashara kubwa zote anamikono yake,Schollaship unazozisikia yaani ukionekana una akili basi unapata udhamini wa kusomeshwa hadi utakapoishia na pia huwezi kuwakwepa maana kazi ya mshahara mrefu ni wao wanaotoa wengine huwa hawajijui hadi baadae sana wanapomaliza Masomo Masharti wapewayo huwa hakuna jinsi zaidi ya kuendena nao hawa jamaa huandaa hadi Maraisi na Wapinzani pia wa Nchi zote Duniani... Kukutoa roho ukiziba ziba au ukikataa kuingia kingi ni just a minutes unakwisha. Haya Mabiashara makubwa ni Yao kiufupi wanacontroll Dunia... Nilisoma huyo Mayor Rothschild kaandika kabisa nini kifuate baada ya miaka kadhaa nini kifanyike hata wajukuu wanatambua pa kuoa na wajukuu wana majukumu yao ya kufanya... Rothschild familiy ndio wariirudisha Israel iliyopo now kwa Fedha tu. Kabila lake ni hilo la wayahudi kwa kufukia asili yao huko Georgia Zamani ndani ya USSR.. Kuhusu Israel aliamua tu kuwa na Nchi yake Hata Umoja wa Mataifa ndio Muasisi aliunda kitu kinaitwa League of Nation yaani ku control tu Dunia... Familia ina pesa Nyingi ndio IMF hao.Hivi mkuu kati ya rockefeller na rothschild ni nani wenye utajiri mkubwa??
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Kama mambo ndio yako hivi then i`m happy because I know nothing,[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji2]Rothschild family kwani hata mtaji wa Rockefeller asili yake ni Rothschild. Hawa Jamaa ni Mfumo tu wa Pesa na Mfumo wa Kujilinda ukijiunga nao wanahamisha matrillion ya kutosha and then wanajificha nyuma yako endapo watabanwa basi wanakuwa wanahemea side nyingine na kufight back... Wana Mitaasisi yote ya fedha Duniani wanazicontroll Bank kuu zote kasoro ya Iran,Cuba na Sudan ila nimesikia Sudan kesharegea na Cuba alikuwa mbioni time ya Obama Iran Matatizo yote aliyonayo yanasababishwa nao.... Rothschild ni empire kubwa sana yaani biashara kubwa zote anamikono yake,Schollaship unazozisikia yaani ukionekana una akili basi unapata udhamini wa kusomeshwa hadi utakapoishia na pia huwezi kuwakwepa maana kazi ya mshahara mrefu ni wao wanaotoa wengine huwa hawajijui hadi baadae sana wanapomaliza Masomo Masharti wapewayo huwa hakuna jinsi zaidi ya kuendena nao hawa jamaa huandaa hadi Maraisi na Wapinzani pia wa Nchi zote Duniani... Kukutoa roho ukiziba ziba au ukikataa kuingia kingi ni just a minutes unakwisha. Haya Mabiashara makubwa ni Yao kiufupi wanacontroll Dunia... Nilisoma huyo Mayor Rothschild kaandika kabisa nini kifuate baada ya miaka kadhaa nini kifanyike hata wajukuu wanatambua pa kuoa na wajukuu wana majukumu yao ya kufanya... Rothschild familiy ndio wariirudisha Israel iliyopo now kwa Fedha tu. Kabila lake ni hilo la wayahudi kwa kufukia asili yao huko Georgia Zamani ndani ya USSR.. Kuhusu Israel aliamua tu kuwa na Nchi yake Hata Umoja wa Mataifa ndio Muasisi aliunda kitu kinaitwa League of Nation yaani ku control tu Dunia... Familia ina pesa Nyingi ndio IMF hao.
Alivunja kifungu kimoja cha sheria ya jf cha kuweka link yake ila kuna uzi unaeleza yote unaweza kupitia kupata mengi zaidi mkuu
Nani alim-ban na kwa nini?The bold yupo kwenye ban refu ila tutaendelea kumsubiri
Mkuu hii la mbegu za hybrids ndio lilinishangazs zaidi nilipoenda kijijin kwetu na kukuta siku hizi wananunua mbegu za mahindi kila msimu na wanaweka hadi mbolea za kununua na kupga dawa za wadudu!!New World Order... Hii kitu nliisikia hata kwa Bush kipibdi kile cha september 11, ni kati ya mipango ambayo ipo mbioni ya kuifanya dunia iwe chini ya Uongozi na Dini moja.! Haya mambo yote yapo kwenye unabii na yatakuja ili kuifunga historia ya ulimwengu, utasikia na mengne mengi ukiachana na matetemeko, tetesi za vita, umasikini, upendo wa wengi kupoa na mengine mengi kama ya mipango ya jesuits kwenye mambo ya madawa na vyakula, na kwenye vyakula utakuta jambo la mbegu za hybrid ambazo ndo zinatumika ili kuleta umasikini na uharibifu wa ardhi cause zenyewe ukishavuna hauwezi zipanda tena soo at last umasikini unatawala na mbegu za natural zinapotea sasa hapo uta expect kuomba misaada na kupangiwa masharti ya kuambiwa uabudu nin na tamaduni flani za watu kupingwa na kuambiwa waige za western people.! Soma BIBLIA na vitabu vya Unabii utaona yote hayo hayana budi kutokea ili ule mwisho uje.
Ndo hivo Mkuu, jamaa wapo kila konaMkuu hii la mbegu za hybrids ndio lilinishangazs zaidi nilipoenda kijijin kwetu na kukuta siku hizi wananunua mbegu za mahindi kila msimu na wanaweka hadi mbolea za kununua na kupga dawa za wadudu!!
Wakati zamani ilikuwa ukivuna unaweka mbegu ulizovuna msimu uliopita, mbolea kuweka ilikuwa labda samadi!
Sent using Jamii Forums mobile app