Hawa sasa ndio wanakijiji cha Kigogwe Buhigwe mkoani Kigoma

Kigoma Region Tanzania

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
230
Reaction score
611
BUHIGWE
Mwenyekiti wa Kijiji cha Kigogwe wilayani Buhigwe Mkoani Kigoma ametoa wito kwa serikali kupitia wizara ya ujenzi na makampuni ya ujenzi kuweza kujitolea kukamilisha ujenzi huu ambao kwasasa unaendelezwa na wanakijiji,

Ndugu Methusela Ntahonsigaye ambaye ndiye mwenyekiti ameeleza ya kwamba 'Wananchi hawa wanahitaji sapoti kukamilisha ujenzi huu, Serikali, Kampuni na wadau karibuni Kigogwe Buhigwe mkoani Kigoma.'

Eneo hili bado ni kikwazo katika kufikia maendeleo endelevu. Pamoja nakulima michikichi usafiri na usafirishaji havitawezekana na hivyo kutokuyafikia masoko.

Tazama Video fupi
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…