BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Mi napita tu kwanza , naenda kunyoa.
Nikimaliza manyozi ntarejea manaake mmhh !
Sichagui mtu mpaka nifanye show na washiriki live katika Zinduna Talk Show
Huyu Mzee Mwanakijiji siku hizi anakatika katika sana. Sijui ni network? Haeleweki eleweki!
Nataka Zinduna Show irudi na hewani awe Mr Rocky #JustSaying na kama akigoma mchukue Kipipi na mimi ntamuhoji #JustMissingYou-Kipipi
Du, Mzee Mwanakijiji, sistahili hata kufunga kama ya viatu vyake
Uyu Zinduna wamlete hapa kidume nimkekete...maneno mengi kwangu atapumulia mpaka masikio
Huyu Mzee Mwanakijiji siku hizi anakatika katika sana. Sijui ni network? Haeleweki eleweki!
haya nijuze ulipomficha Yummy mke mwanzangu, kabla mwenye mke Asprin hajahamisha nyama zako za chini ziote kwapani! rudisha mke wa mwenyewe, shaurilo, usiseme hukuonywa!