Hawa Simba mnaowaona humu baada ya tarehe 08/03/2025 hamtawaona tena

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,072
Reaction score
2,384
Kiboko ya Simba koko ni Yanga... Simba watapiga piga kelele...waambie Yanga huyoooo.... Wanaweka mkia makalioni wanalala mbele. Wepesi kama kamasi za kichanga.

Wacha washinde match zoooote. Watakuja tema points 3 kwa sisi wakali wao. Wakali wa hizi kazi. Mi nawacheck....nasikitika tu maana hawana kitu. Hawana team basi tu wanakutana na vibonde. Wamekalia points zetu. Wametangulia na baiskel ya miti.
 
Watakimbilia serengeti au tarangire?
 
 
 
Hivi Azam mnacheza nae lini,maana yule lazima awachape.
 
mimi ni Yanga damu lakini huyu kocha tulienaye sioni chochote.
 
Jamani mods mbona huyu bado yupo hewani??
Watu wa hivi hawanaga kazi za kufanya hawana hoja zaidi ya kutabiri upumbavu...
Aliomba ban apewe....
Apeweee ban
Apeeeee ban
Apweee ban
Sipewi sasa,...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…