Habari!
Wamatopeni / Mikia/ Paka / Nyau Fc nimewatazama naona kama wapo serious kidogo. Nimepitia haya mambo walifanya hivi karibuni ukiyachambua kwa kina unaweza kuona kama wanania kweli kweli.
Ila pia kunaweza kuwa kuna mambo yanaendelea chini ya carpet ambayo yanafichwa sasa wanatumia njia hii kupoteza wengi kwa kuonekana wapo serious kumbe ndani kumekwisha haribika.
Yetu macho kama mtaendelea na kasi hii basi tutaweza kuwaona mmejikwamua kidogo hata kwenye hayo mashindano ya kimataifa na kuachana na matumizi ya paka/nyau tena.
Nawasalimu Paka Fc wote salamu ziwafikie.
Nawasilisha
Cc: Kichwa Kichafu