Hawa sio matapeli wa ajira kweli? wao wanauza form ya maombi ya kazi Tsh 2500, Mirogena & Company Limited

I AM NO ONE

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2020
Posts
388
Reaction score
579
Habari wadau hawa jamaa wametangaza nasafa sa kazi lakin nashangaa wanakwambia jaza form alafu ulipie tsh 2500 ya form? Ukishaingia kwenye tovuti yao ndo unakutana na hizo habari za ada ya form kweli inaingia akilini hii kitu wanajiita

Mirogena & Company Limited
 
Mh! Hao ndio wenye kazi za kuzungusha mabeseni ya vyombo mitaani. So jiandae kisaikolojia.

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
 
Matapeli hao ndugu yangu,hyo kazi imetangazwa kwa kampuni mbili tofauti ndo ujue hao mwezi.
 
umekuja daressalaam lini mkuu, samahani nimekuuliza sio kwa nia mbaya.
 
Karibu mjini Mkuu.

Umebakiza mtihani mmoja tu wa kwenda interview za mabeseni ili uhitimu kabisa😄😄😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…