Hawa SME ni akina nani?

Hawa SME ni akina nani?

Ubungo Mataa

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2018
Posts
411
Reaction score
725
Wana bodi, heshima kwenu.

Hawa SME ni akina nani?

Screenshot_20220403-134844.png
 
SME means Shared Medical Equipments. Wanajihusisha na uwekezaji wa vifaa tiba hospitalin. Jina la kampuni ni YESCOM GENERAL TRADING LTD
 
Back
Top Bottom