Hawa Taiwan na Hongkong wanakera sana

Hawa Taiwan na Hongkong wanakera sana

Mpap Ndabhit

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
331
Reaction score
416
Inakuwaje ndani ya nchi moja wao kuwa na kauli ya "nchi yetu" wakati nchi ni China.

Na hii hata hapa Tanzania wenzetu hawa Wazanzibari na kauli zao za kusema "nchi yetu" inakera sana!

Kwa hiyo kumbe Rais Samia ametoka nchi nyingine ya Zanzibar kuja kuitawala nchi nyingine ya Tanzania! Zanzibar siyo nchi Wala Taifa jamani hivi Pinda hakueleweka.

Semeni, nchi yetu ya Tanzania Zanzibar basi, mnakera nyie Hongkong na Taiwan!

PIA SOMA
- Lithuania yajuta kuchokoza China katika suala la Taiwan
 
Una matatizo wahi Hospital
 
Back
Top Bottom