Unaomba ushauri au unatoa Taarifa?Nimedownload tik tok juzi kati sasa kila video inayokuja wanawake wana misambwanda balaa wanacheza hata nisipofungua leo nikifungua kesho wanaleta video zile zile...mpaka nataka ku uninstall..
Wahi polisi haraka....Nimedownload tik tok juzi kati sasa kila video inayokuja wanawake wana misambwanda balaa wanacheza hata nisipofungua leo nikifungua kesho wanaleta video zile zile...mpaka nataka ku uninstall..