Hawa Tik Tok Vipi tena!

Hawa Tik Tok Vipi tena!

Triple G

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
3,018
Reaction score
4,369
Nimedownload tik tok juzi kati sasa kila video inayokuja wanawake wana misambwanda balaa wanacheza hata nisipofungua leo nikifungua kesho wanaleta video zile zile...mpaka nataka ku uninstall..
 
Ukifollow mmoja mwenye misambwanda basi utakuwa unaletewa wa hivo hivo.Ukifollow mbio za magari utaletewa magari magari.Ukifollow mawaidha ya dini hivo hivo.Wenyew wanaona kitu gani unapendelea wanakuletea mizigo yako.
 
Back
Top Bottom