DOKEZO Hawa Trafiki wanakera sana, njaa zitawaua

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Unatupigia kelele, kwani huwezi kuongea kwa sauti ya chini ukaeleweka!?
 
Tusiwahukumu na wenyewe watafutaji pengi mishara yao haikizi mahitaji yao ya kuendesha familia njia pekee ya kuondoa tatzo hili ni kuwapa mishahara mizuri
 
IGP kaziba masikio
 
Last week nilikuwa napita Bypass East Africa wakanipiga mkono speed 60 km per hour.

Traffic walikuwa 4 na Officer mmoja mwenye nyota moja.Wote wanadai rushwaa eti bypass siku hizi makazi ya watu yapo so sahau habari ya bypass.

Nikawaambia msinipotezee muda nipatie hicho kikatatasi cha penalty nitalipa kuliko kuwapatia 10,000.

Matatizo ya barabara za Tanzania ni kero zaidi ya TOZO.

Trafic wana vikoba vyao souce ya income ni madereva.
 
Lakini shujaa wa Afrika na Dunia alisema hiyo ni yakubrashia viatu [emoji849][emoji849]
 
kimsboy nataka nikununulie kitimoto ushushie na fanta(kijijini kwetu tunaiita fwaanda)!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…