Hawa 'under 18' tuwafanyeje?

SIMPLE:

Ukimwona aloanzisha thread ya kitoto BONYEZA REPORT BUTTON sisi tutasafisha jukwaa
 
Na hawa under18 naona wako wengi mpaka mada zinakosa mwelekeo
Mie mpaka nimepata uvivu kuchangia siku hizi
 
Ulihakikisha umejiandikisha kwenye daftari la kudumu la mahujaji wa Yerusalemu Mpya? Na ile kitu inawekwa mseseve uliifakamia vya kutosha?

Ya siku hizi sio kama ya Enzi zile. wamshaichakachua!!
 
Na wenyewe tutawajumuisha huko si wana akili za kitoto ?
 
SIMPLE:

Ukimwona aloanzisha thread ya kitoto BONYEZA REPORT BUTTON sisi tutasafisha jukwaa

Orait mkuu....
Ila mngenikasimu madaraka ya kufuta hizo posti kwa kipanya changu wangekoma...
 
SIMPLE:

Ukimwona aloanzisha thread ya kitoto BONYEZA REPORT BUTTON sisi tutasafisha jukwaa
Tumekusikia mkuu manake hali ni mbaya wakina dada watatukimbia sasa hivi si unaona walivyoniunga mkono hapa ?
 
mie jina lako nimelizimia na mwomba nim keep huyo paka??

Ha ha ha....! Ngoja nimtrain kwanza maana so far ananijua mie tu, asije kukushambulia. Si umeona hiyo ki2 ya moto hiyo....
 
Tumekusikia mkuu manake hali ni mbaya wakina dada watatukimbia sasa hivi si unaona walivyoniunga mkono hapa ?

Kabisa tutaondoka maana imekuwa mademu mademu kila kona mpaka imekuwa kero sana
 
Si wanakuja kwa wakubwa na wenye uzoefu wapate ushari....? Mbona mnawafukuza badala ya kuwaelimisha? Kama demu wake anamtesa au hamuelewi demu wake si aombe ushari kwa wakubwa na wazoefu wa maswala ya mahusiano? Mimi nasema waje, pengine tunawaokoa wengi kufanya maamuzi ya kujiua kwa ajili ya kupigwa chini na wapenzi wao....!
 
Ha ha ha....! Ngoja nimtrain kwanza maana so far ananijua mie tu, asije kukushambulia. Si umeona hiyo ki2 ya moto hiyo....

duuuhh naona anaikokea ile mbaya..
ulimpeleka afghanistan kwa training nini??
 
Tumuombe administrator atusaidie kuwa anaziondoa mada zao
 
nyie huku mnaongea mambo ya tigo wakisoma nao wanaenda kuombana tigo hadi waje wafikishe 25yrs hata mbele hawagusi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…