NewDawnTz
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,667
- 362
SIMPLE:
Ukimwona aloanzisha thread ya kitoto BONYEZA REPORT BUTTON sisi tutasafisha jukwaa
Well said Inv...............
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SIMPLE:
Ukimwona aloanzisha thread ya kitoto BONYEZA REPORT BUTTON sisi tutasafisha jukwaa
duuuhh naona anaikokea ile mbaya..
ulimpeleka afghanistan kwa training nini??
Aaah sana... Yuko safi sana. Nategemea kumtumia kumlinda mheshimiwa rais nanii 2015
duuuhhh
siumwachie tu amlinde huyu wa sasa
kama huyu paka wetu nimpenda haki na maendeleo
ataitumia hiyo AK 47 inapotakiwa..:lying:
duuuhhh
siumwachie tu amlinde huyu wa sasa
kama huyu paka wetu nimpenda haki na maendeleo
ataitumia hiyo AK 47 inapotakiwa..:lying:
Haya bana
na we unampenda paka mpenda maendeleo??
kweli kabisa,au waandaliwe darasa la kuwafanyia counselling kwa njia moja au nyingine
Nampenda thaaaana.
Natoka kidogo eeh....
haya
i hope ur house is bullet proof..
maana hiyo kitu aliyeshika paka achananayo..
hahahhaha lol
wa weza rudi home ukute majivu kila kitu lol
c u l8er..
Wewe unaweza kuongea na mtoto wako eti demu kanifanya hivi na vile??
Kuna mambo ya kuongea si kama hayo
Mkuu hawa madogo wanahitaji, hebu soma signecha yangu.......!
Siyo siri hawa madogo na mathread yao sijui mama mkwe ananitaka, sijui wanawake wote wa mjini wametoa mimba, sijui jinsi ya kumpata demu wa kichaga et el wanaboa sana.
Jukwaa la watoto ni wazo jema Naunga mkono hoja.
Wakuu wa jukwaa hili kuna hawa vijana wadogo anda 18 ambao wamevamia jukwaa hili miezi ya karibuni naona tuwaombe Mods wawafungulie jukwaa la watoto la sivyo hatutaelewana hapa,wenyewe kila kukicha demu wangu kafanya hivi,sijui shori kafanyaje mpaka kina dada wanakosa amani hapa.Mapendekezo mengine yanakaribishwa.
Nakubaliana na wewe kabisa. Kuna watoto wamevamia jukwaa na kwa sasa jukwaa linazidi kupoteza utamu kila kukicha.
Siku hizi tumegeuka kuwa watu wa kuzungumzia ngono tu ngono tu kila kukicha, tumesahau mambo muhimu ya urafiki, mahusiano na mapenzi. Nashindwa kutofautisha jukwaa hili na lile la mambo ya Kikubwa. Tofauti labda ni kwamba huku hamna picha.