Hawa vigogo wamechukua Fomu Ubunge.??

Hawa vigogo wamechukua Fomu Ubunge.??

GenuineMan

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2017
Posts
7,885
Reaction score
18,636
NAomba kufahamu political status ya hawa waheshimiwa.

1. Job Yuston Ndugai
2. Bashiru Ali
3.Paramaganda Aidan Mwaluko Kabudi
4. Joyce Ndalichako
5.Mzee Mkuchika
7.Dorothy Gwajima.
 
NAomba kufahamu political status ya hawa waheshimiwa.

1. Job Yuston Ndugai
2. Bashiru Ali
3.Paramaganda Aidan Mwaluko Kabudi
4. Joyce Ndalichako
5.Mzee Mkuchika
7.Dorothy Gwajima.
Lica tusaidie majibuuu?
 
NAomba kufahamu political status ya hawa waheshimiwa.

1. Job Yuston Ndugai
2. Bashiru Ali
3.Paramaganda Aidan Mwaluko Kabudi
4. Joyce Ndalichako
5.Mzee Mkuchika
7.Dorothy Gwajima.
1Huyu wa Kongwa kachukua, Gwajiboy kachukua!
 
NAomba kufahamu political status ya hawa waheshimiwa.

1. Job Yuston Ndugai
2. Bashiru Ali
3.Paramaganda Aidan Mwaluko Kabudi
4. Joyce Ndalichako
5.Mzee Mkuchika
7.Dorothy Gwajima.
Pale ambapo wapiga kura ni wachache kuliko wagombea baasi TWAFA.
Nashauri bungeni itumike lugha ya kingereza ili kupunguza haya MAFURIKO .
Siku ya kwanza kila mbunge apewe dk 5 tu za kuongea kingereza akishindwa atoke bungeni.
Hatuwezi kuwa na taifa ambalo wajinga ndiyo wanaongoza wenye akili.
Yaani mbunge ajue kusoma na kuandia tu??? Huu ni upuuzi
 
magufuli alikata wazee akaweka vijana wametufanyia mambo ya hovyo, yamekuwa machawa na bunge kuonekana halina maana safari hii tunapeleka wanasiasa wabobevu watakaoisimamianserikali sawasawa, cag akisema tumepigwa bungeni pawake moto,

bunge limemwachia mpina anapambana pekeyake, gwajiboy nayeye anarukaruka tu
 
Back
Top Bottom