GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Tukio limenikuta muda huu baada ya kusimamishwa na vijana wadogo skauti kwenye chombo changu cha usafiri
Tena huyu skauti alienisimamisha umri wake ni miaka 19/20 halafu ananimbia paki piki piki yako pale
Ilibidi nishuke nimfuate nimchape kibao kwanza na nikamuuliza wewe huna sare yoyte unanisimamishe mimi nionyeshe kitambulisho chako alichonijibu sisi tuna msafara wetu halafu walikuwa 8 wengine wote wamevaa sare kasoro huyu alienisimamisha
Nikawasha batavuzi langu likaondoka maana nzi walianza kuwa wengi
Wanasheria na watu wa usalama barabarani je
Hawa vijana wa skauti wanaruhusiwa kusimamisha vyombo vya moto?