Hawa vijana wanaovimba mtandaoni kwa maburungutu ya milioni 40 ni washamba wa pesa, Ili uvimbe kama don walau uringishie milioni 200

labda uwe tajiri wa mtandaoni.
Si ndio.... yaani unatengeneza taswira ya utajiri, unapost vibunda, unakodi magari unapiga nayo picha nk...

halafu unawaambia wanaotaka kua kama wewe wakulipe labda kuna biashara unafundisha mf forex, MLM..... rinse and repeat.

wewe unaeliwa hela ni wantrepreneur, unapenda maisha ya slope.... anaepiga hela sasa ni huyo contrepreneur, anakuuzia matumaini, yaani anakutapeli
 
Dar es salaam mji wa kijinga sana , mtu unakuta una coaster 10 na hakuna anayekujua mtaani [emoji3][emoji3]

Anyway kuvimba ni tabia ya mtu tu, kuna watu wanavimba mpka na laki 2! Kikubwa jitahidi uishi maisha yako, hata ukiwa na mil 200 unavimba ili iweje?
 
Hela haifichiki, yaani unaweza pata hela ukaonekana mbaya na ukaonekana mnzuri🤔
Kwa suala la hela ni mtizamo wa walio pemben yako mwenye hela
 
Soko ni gumu sana, inahitaji akili, muda , nidhamu na kufanya kile ambacho watu wengi hawakifanyi. Na wengi wanapoteza mno sokoni, yaani we unanunua, alafu kuna jitu linauza shares kwa 5 billion dollars.
 
Masikini akipata matako hulia mbwata lakini hakikisha yanalia kwa usiri sio hadharani lasivyo utaonekana mshamba tu, hio milioni 5 unavimba lakini jua kuna vijana ni bajeti yao ya kila wiki kitambaa cheupe
Hukunifundisha kutafuta..
Utanifundishaje kutumia
Sheeinzzyyy
Mwaga Hennessy kudadadeki
Leo pesa imekosea njia

Oyaah kwa mabeach boy
Pesa imekosea njia
Oyah kwa mabeach boy
Pesa imejichanganyaa leooo
Leo bill nalipa mie.. pesa imeyatimba

Punguza ushauri watu tuna plan zetu
🎶🎶🎶🎤

Totoo mabantu wakamatwe mshamba_hachekwi
 
tulia wewe ijumaa ni kesho bado haijafika😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…