Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Kama ni ndio mbona ulimshangaa mshamba?😂Ndiyo mkuu😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni ndio mbona ulimshangaa mshamba?😂Ndiyo mkuu😄
Hata vyanzo vya pesa zao havieleweki vimejaa ukakasi, usiumie wala kujilinganisha nao kwa pesa wanazorekodi !!
Si ndio.... yaani unatengeneza taswira ya utajiri, unapost vibunda, unakodi magari unapiga nayo picha nk...labda uwe tajiri wa mtandaoni.
Nimejibu "ndiyo mkuu" lakini sikuelewa hata ulichomaanisha tho mtoa mada anaongelea mambo ya 250M nimeona kanitukanaKama ni ndio mbona ulimshangaa mshamba?😂
[emoji3][emoji3][emoji3]kiukweli scheni wavimbe tu maisha magumu street hata mi nkipata ata mil 5 lazm nivimbe maan sijawah kushika hata mil 1.4 yakwangu toka nizaLiwe
Hela haifichiki, yaani unaweza pata hela ukaonekana mbaya na ukaonekana mnzuri🤔Unakusanya hela zako zinafika milioni 25 unaanza kujirekodi kwamba ni tajirii?
Nimekuja kugundua aina hii ya watu wanatokea vijijini ama mikoani ambako mtu ukiwa na milioni 50 unaonekana doni mtu mzito, sasa wakihamia kwenye jiji wanachukia hawapati ile attention ya vijijini, ndio hapo sasa jogoo la shamba linalazimisha kuwika mjini kwa kujirekodi.
Nashangaa kuona mtu anajisifu ana pesa kisa maburungutu ya milioni 10 hadi 40, wengine hata hizo pesa zinawatoa jasho wanapachika vimbao, Pathetic!
Ili uvimbe kwamba una pesa kimjini mjini hasa hapa Dsm basi hakikisha angalau una pesa zinazoweza kuwatisha ama unaendana ama kuwasogelea kwa mbali vijana madoni wenye pesa zao.
Vijana wenye kuweza kumudu milioni 50 ni wengi si haba, hayo maburungutu ya 40 sio levo ya kuvimba.
Angalau uvimbe na dola elf laki 1 sawa na milioni 250 lakini hata ikiwa ni milioni 200 sio mbaya,
Ukweli ni kwamba wanaoikamua soko hawafundishi, hawataki strategy zao ziwe exposed .Forex mentors hao, lazima waoneshe vibunda ili wale vichwa......
NB: Njia rahisi ya kua tajiri ni kufundisha watu jinsi ya kua tajiri
😃😃😃 njoo mjini sasa.!sista naomba uchawa niwe nakubebea pochi😂
Soko ni gumu sana, inahitaji akili, muda , nidhamu na kufanya kile ambacho watu wengi hawakifanyi. Na wengi wanapoteza mno sokoni, yaani we unanunua, alafu kuna jitu linauza shares kwa 5 billion dollars.Si ndio.... yaani unatengeneza taswira ya utajiri, unapost vibunda, unakodi magari unapiga nayo picha nk...
halafu unawaambia wanaotaka kua kama wewe wakulipe labda kuna biashara unafundisha mf forex, MLM..... rinse and repeat.
wewe unaeliwa hela ni wantrepreneur, unapenda maisha ya slope.... anaepiga hela sasa ni huyo contrepreneur, anakuuzia matumaini, yaani anakutapeli
Kabisaa mwayaaa,Kuna sisi ambao hatuna hata million 1 sio cash, bank au assets. Ni haki watuvimbie.
Hukunifundisha kutafuta..Masikini akipata matako hulia mbwata lakini hakikisha yanalia kwa usiri sio hadharani lasivyo utaonekana mshamba tu, hio milioni 5 unavimba lakini jua kuna vijana ni bajeti yao ya kila wiki kitambaa cheupe
tulia wewe ijumaa ni kesho bado haijafika😂Hukunifundisha kutafuta..
Utanifundishaje kutumia
Sheeinzzyyy
Mwaga Hennessy kudadadeki
Leo pesa imekosea njia
Oyaah kwa mabeach boy
Pesa imekosea njia
Oyah kwa mabeach boy
Pesa imejichanganyaa leooo
Leo bill nalipa mie.. pesa imeyatimba
Punguza ushauri watu tuna plan zetu
🎶🎶🎶🎤
Totoo mabantu wakamatwe mshamba_hachekwi
Hahatulia wewe ijumaa ni kesho bado haijafika😂
Hii nayo iende ikiendatulia wewe ijumaa ni kesho bado haijafika😂
Maybe if you're the boss😂Hii nayo iende ikiendaView attachment 2809063