Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Haya mambo yapo Sana kule instaMnawaoneaga mtandao gani?? Maana mimi nimebakiza Whatsapp na jf tu
Hakika, hao wapo kwa ajili yetu wa laki laki .Kuna sisi ambao hatuna hata million 1 sio cash, bank au assets. Ni haki watuvimbie.
Au atoe ajira kwa watu mia mbili...Unakusanya hela zako zinafika milioni 25 unaanza kujirekodi kwamba ni tajirii?
Nimekuja kugundua aina hii ya watu wanatokea vijijini ama mikoani ambako mtu ukiwa na milioni 50 unaonekana doni mtu mzito, sasa wakihamia kwenye jiji wanachukia hawapati ile attention ya vijijini, ndio hapo sasa jogoo la shamba linalazimisha kuwika mjini kwa kujirekodi.
Nashangaa kuona mtu anajisifu ana pesa kisa maburungutu ya milioni 10 hadi 40, wengine hata hizo pesa zinawatoa jasho wanapachika vimbao, Pathetic!
Ili uvimbe kwamba una pesa kimjini mjini hasa hapa Dsm basi hakikisha angalau una pesa zinazoweza kuwatisha ama unaendana ama kuwasogelea kwa mbali vijana madoni wenye pesa zao.
Vijana wenye kuweza kumudu milioni 50 ni wengi si haba, hayo maburungutu ya 40 sio levo ya kuvimba.
Angalau uvimbe na dola elf laki 1 sawa na milioni 250 lakini hata ikiwa ni milioni 200 sio mbaya,
Hadi wewe !kiukweli scheni wavimbe tu maisha magumu street hata mi nkipata ata mil 5 lazm nivimbe maan sijawah kushika hata mil 1.4 yakwangu toka nizaLiwe
Umenikumbusha kuna siku nilizishika hizi ilinibidi nipige picha kabla ya kuzigeuza madafuRaha sana kupiga picha hela
Hata kama ni za ada ya kina Junia [emoji16]
Hata kama ni za rejeshoo
Hata kama huna pa kupost,, bakisha ukumbusho kwenye simu kwamba ulishikaga.
Ilaaaa
Watz na kupangia watu maisha tuna A+
#nisifokewe..
View attachment 2808962
Sawa mkuu, nikizishika sitafanya hivyo maana najua nilipotoka.Dar es salaam unakuta kijana ana coaster 10 na bado ukaonekana wa kawaida kabisa, ni tofauti na huko vijijini ama mikoani tayari umefika kipimo cha kuitwa tajiri.
Shida inakuja kwa hawa vijana wageni wa jiji wanatokea vijijini ama mikoani walikokuwa wanapata attention ya kuonekana ni matajiri, hawapati tena ile attention waliyoizoea, ndio hapo sasa jogoo la shamba linalazimisha kuwika mjini kwa kujirekodi mitandaoni.
Mtu anajisifu ni don kwa kuonyesha maburungutu ya milioni 30, anahisi bado yupo huko mikoani.
Vijana wenye kuweza kumudu milioni 50 hapa Dsm na hata Mwanza ni wengi si haba, hayo maburungutu ya 40 sio levo ya kuvimba.
Angalau uvimbe na dola laki 1 sawa na milioni 250 lakini hata ikiwa ni milioni 200 sio mbaya, milioni 40 ni za kuvimbia kijijini.
Wewe kumbe hujui wanaume wa Dar kwenye swala la pesa ndio malimbukeni nambari 1 ,Dar es salaam unakuta kijana ana coaster 10 na bado ukaonekana wa kawaida kabisa, ni tofauti na huko vijijini ama mikoani tayari umefika kipimo cha kuitwa tajiri.
Shida inakuja kwa hawa vijana wageni wa jiji wanatokea vijijini ama mikoani walikokuwa wanapata attention ya kuonekana ni matajiri, hawapati tena ile attention waliyoizoea, ndio hapo sasa jogoo la shamba linalazimisha kuwika mjini kwa kujirekodi mitandaoni.
Mtu anajisifu ni don kwa kuonyesha maburungutu ya milioni 30, anahisi bado yupo huko mikoani.
Vijana wenye kuweza kumudu milioni 50 hapa Dsm na hata Mwanza ni wengi si haba, hayo maburungutu ya 40 sio levo ya kuvimba.
Angalau uvimbe na dola laki 1 sawa na milioni 250 lakini hata ikiwa ni milioni 200 sio mbaya, milioni 40 ni za kuvimbia kijijini.
π€£π€£π€£Kuna sisi ambao hatuna hata million 1 sio cash, bank au assets. Ni haki watuvimbie.
π€£π€£Kuna sisi ambao hatuna hata million 1 sio cash, bank au assets. Ni haki watuvimbie.
Hujamboπππ njoo mjini sasa.!
Aisee...Hukunifundisha kutafuta..
Utanifundishaje kutumia
Sheeinzzyyy
Mwaga Hennessy kudadadeki
Leo pesa imekosea njia
Oyaah kwa mabeach boy
Pesa imekosea njia
Oyah kwa mabeach boy
Pesa imejichanganyaa leooo
Leo bill nalipa mie.. pesa imeyatimba
Punguza ushauri watu tuna plan zetu
πΆπΆπΆπ€
Totoo mabantu wakamatwe mshamba_hachekwi
Wewe kumbe hujui wanaume wa Dar kwenye swala la pesa ndio malimbukeni nambari 1 ,
Nilienda Njombe huko yani kijana unaambiwa ana ghorofa na anamiliki semi 5 yani ukimuona yuko poa sana halafu hata huwezi jua kuwa anapesa hiyo yote ni kama fala hivi
Wajf jf si ndio htari kabisa humu kukuambia wanaishi hotels za nyota 5 kugawa mitaji kuwapa wat ajira kwao kawaida sana au nikutag kwenye stori zao mkuuMnawaoneaga mtandao gani?? Maana mimi nimebakiza Whatsapp na jf tu
[emoji23]Kuna sisi ambao hatuna hata million 1 sio cash, bank au assets. Ni haki watuvimbie.
Jombaa, Thamani ya Coaster 10 mpya kwa kila moja labda weka Tshs. 80M yaani jumla Tshs. 800M ndio thamani ya nyumba za kuishi mitaa mingi ya watu wenye mifuko mipana kama vile Laiboni, Oyster Bay hapo sijaweka hata thamani ya ardhi. Unafikiri ukiishi maeneo kama haya kuna mtu hata anaweza kukufahamu?Dar es salaam mji wa kijinga sana , mtu unakuta una coaster 10 na hakuna anayekujua mtaani [emoji3][emoji3]