Hawa vijana waosha kucha na miguu wanawake hivi wamekosa kazi nyingine za kufanya?

Hawa vijana waosha kucha na miguu wanawake hivi wamekosa kazi nyingine za kufanya?

wamkodowenye

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
261
Reaction score
291
Kumeibuka wimbi na vijana masharobaro kupaka rangi kucha na kuwaosha miguu wanawake zetu hii inapelekea kuchochea kuwatega wanawake maana wanalegea sana nakusisimka wanaposuguliwa miguu.

Mimi siku nikimkuta muosha miguu au mpaka rangi kucha kwangu namtoa na mbata ya kufa mtu ukipita mitaa ya Mwenge pale utakuta wanawake wamepanga foleni wanaoshwa miguu tena wanalegea balaa.

IMG_20171120_141623.jpg
IMG_20171120_141618.jpg
 
Halaf unakuta dada kavaa kimini mpaja wote upo nje...sijui wanaweza kuvumilia vp tu hali ile

Mm nlikuwa pm tu nachat na mtu nikawaza na hili joto atakuwa hajavaa nguo nkadinda ss hawa vijana muda wote wanaangalia chini tu
 
Kumeibuka wimbi na vijana masharobaro kupaka rangi kucha na kuwaosha miguu wanawake zetu hii inapelekea kuchochea kuwatega wanawake maana wanalegea sana nakusisimka wanaposuguliwa miguu.

Mimi siku nikimkuta muosha miguu au mpaka rangi kucha kwangu namtoa na mbata ya kufa mtu ukipita mitaa ya Mwenge pale utakuta wanawake wamepanga foleni wanaoshwa miguu tena wanalegea balaa.

View attachment 634232View attachment 634233
Sasa tatizo lipo kwa muosha miguu au kwa anayelegea akioshwa?
 
Wakikaba mnasema wamekosa kazi
Wakijitafutia kwa njia halali mnawadharau

Mnataka wafanye kazi gani unayo iona wanastaili kufanya
 
Life is not Physics/ Mathematics Comrade.

Hatuna Genaral Formula katika kuendesha Maisha yetu ya kila siku. Nimeshindwa kung'amua Mantiki (Logic) ya bandiko lako.

Tatizo ni hilo wimbi la vijana ulowaita Masharobaro, Ajira pamoja na ujira wao au Kutegeka kwa Mkeo?. Try to be clear and specific..

Muosha miguu, Mpaka kucha rangi kapeleka huduma kwa mteja (Door to door services). Mteja kakubali kupewa huduma. Wakiishia kufanya ushenzi (kumradhi) alaumiwe nani?.

Mind you, Mwanamke hafugiki kama Ngombe. Ni mtu mwenye maamuzi na Utashi binafsi. Anaweza kufuatwa kufanyiwa maombi/ sala maalum kwako na kuishia kukusaliti. So usiwa-judge mapema sana hao vijana. Subira ni Ibada.

Chunguza kwa Umakini huduma yao na pindi utakapobaini jambo ovu baina yao ndipo utatue tatizo kwa Hekima na si jazba.

Asalaam.
 
Wanapata kipato. Lakini daah kazi ya ajabu hakika
 
Kumeibuka wimbi na vijana masharobaro kupaka rangi kucha na kuwaosha miguu wanawake zetu hii inapelekea kuchochea kuwatega wanawake maana wanalegea sana nakusisimka wanaposuguliwa miguu.

Mimi siku nikimkuta muosha miguu au mpaka rangi kucha kwangu namtoa na mbata ya kufa mtu ukipita mitaa ya Mwenge pale utakuta wanawake wamepanga foleni wanaoshwa miguu tena wanalegea balaa.

View attachment 634232View attachment 634233
Kosa la vijana ni nini mkuu?
Hao wanatafuta pesa
mkeo ndio wa kumuonya asije akawaita kumuosha miguu.
Ni bora hawa wanaopaka nje kuliko wale wanaoenda kuoshwa ndani ya saloon maalum huko kugegedwa ni rahisi sana
 
Mniwie radhi ila huu ni wivu wa kingese!
 
Uajabu wake nini?
Yani hapo kuosha tu miguu kupaka rangi kichwa kimoja ana elf kumi yake, kwa siku akipata vichwa kumi????
We mwenye kazi isiokua ya ajabu hiyo hela unaingoja mwisho wa mwezi
Mkuu... kila kazi ina faida yake ndo maana sijapinga kuwa hawapati hela. Kwani hata kuokota chupa za maji pia kuna hela. Lakini si kila kazi mtu ataifanya kwasababu tu kutafuta kipato. Kama ni hivyo basi hata Dada poa atakuambia usiku mmoja anapata Laki 2. Je tutaridhika dada zenu na hali hiyo?

Kwa hawa wa miguu changamoto kubwa kwao kumekuwa kukitokea mambo ya wivu wa kimapenzi, visa kadhaa vimeripotiwa hadi ugomvi kabisa. Ndo pointi yangu
 
Unawaonea hawa vijana maana kwa siku wanatengeneza wadada hata 10, pia kazi inahitaji customer care, usafi na utanashati. Ila kama unaona wivu basi muoshe mkeo mwenyewe kama mm
 
Unawaonea hawa vijana maana kwa siku wanatengeneza wadada hata 10, pia kazi inahitaji customer care, usafi na utanashati. Ila kama unaona wivu basi muoshe mkeo mwenyewe kama mm
Huyo ni mbwiga Mbona Nasis Wadada wanatufanyia Scrub, Massage na Kuoshwa miguu pia tena Saloon falaga na wanakuwa wadada warembo masister du wa hatari . wake zetu ukienda naye anaweza kumpiga kibao so . Pambana na haliyako vjna wanatafuta RIZIKI kama wewe unaponda kokoto unaona vjana wana kula kwa mlija Rangi zipo nyinyi changamkia fulsa na itakusaidia sana maana na mkeo utakuwa unampaka wewe mwenyewe [emoji120]
 
Halaf unakuta dada kavaa kimini mpaja wote upo nje...sijui wanaweza kuvumilia vp tu hali ile

Mm nlikuwa pm tu nachat na mtu nikawaza na hili joto atakuwa hajavaa nguo nkadinda ss hawa vijana muda wote wanaangalia chini tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaheshimu misingi ya kazi na nizamu yake
 
Back
Top Bottom