Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida. ni huyo mke wa mtu kwanza hajiheshimu na wala hana nidhamu kwa mumewe.Haha
Kuna mmoja namuona mtaa wa pili hapa sa hii ati anapaka mwanamke wa mtu rangi usiku huu!!! Daaah
Ongea taratibu MkuuShida. ni huyo mke wa mtu kwanza hajiheshimu na wala hana nidhamu kwa mumewe.
Wewe ni Me au KeOngea taratibu Mkuu
Labda ndio muda alioupata saa hiyoHaha
Kuna mmoja namuona mtaa wa pili hapa sa hii ati anapaka mwanamke wa mtu rangi usiku huu!!! Daaah
Huyo mwanamke au mchora kucha?? Maana mwanamke ni mama wa nyumbani, anyway labda alikuwa busy!!Labda ndio muda alioupata saa hiyo
Dada yangu una mtu wa karibu ni mpaka rangi nini?Uajabu wake nini?
Yani hapo kuosha tu miguu kupaka rangi kichwa kimoja ana elf kumi yake, kwa siku akipata vichwa kumi????
We mwenye kazi isiokua ya ajabu hiyo hela unaingoja mwisho wa mwezi
wala sina ila nawasifu kwa kazi yao, mimi na kuamka kwangu asubuhi naenda kazini siingizi hela anayoingiza mpaka rangi.Dada yangu una mtu wa karibu ni mpaka rangi nini?
Maana ni kama unavuta kamba kwao.
Uajabu wa kazi husika huwa hatuangalii sehemu moja kigezo cha kulipwa hela kwa siku au kupata hela kwa siku haifanyi kazi husika kuwa inakubalika kwa mfano wabeba zege, kondakta na hata mpaka rangi pia. Ila uajabu wa kazi tunaangalia mazingira husika, maadili ya kazi kwa macho ya jamii, nguvu kazi inayohitajika, masaa ya kazi na usalama wa kazi husika.wala sina ila nawasifu kwa kazi yao, mimi na kuamka kwangu asubuhi naenda kazini siingizi hela anayoingiza mpaka rangi.
Sasa kati ya mie na mpaka rangi nani mwenye kazi ya uajabu?
Unamaanisha hiyo kazi haina maadili?Uajabu wa kazi husika huwa hatuangalii sehemu moja kigezo cha kulipwa hela kwa siku au kupata hela kwa siku haifanyi kazi husika kuwa inakubalika kwa mfano wabeba zege, kondakta na hata mpaka rangi pia. Ila uajabu wa kazi tunaangalia mazingira husika, maadili ya kazi kwa macho ya jamii, nguvu kazi inayohitajika, masaa ya kazi na usalama wa kazi husika.
Tukimchukua mpaka rangi kuna vigezo hapo vinamkaba ndio maana kazi hiyo inaonekana ya ajabu na tena hatarishi.
Dada yangu ndio maana neno maadili nimelifuatisha na maneno kwa macho ya jamii au kuleta maana zaidi ni jamii inalichukuliaje hilo swala. Kama ingekuwa ni kazi yenye maadili watu hapa wote wangeitetea lakini unaona kabisa kuna mitazamo miwili hiyo ni tosha kukujulisha kuwa kazi husika ina walakini.Unamaanisha hiyo kazi haina maadili?
Tatizo ni kuwa mmetanguliza wivu ndio maana mnaona shida, unaona mwanamke kuoshwa miguu basi kishafanywa.Dada yangu ndio maana neno maadili nimelifuatisha na maneno kwa macho ya jamii au kuleta maana zaidi ni jamii inalichukuliaje hilo swala. Kama ingekuwa ni kazi yenye maadili watu hapa wote wangeitetea lakini unaona kabisa kuna mitazamo miwili hiyo ni tosha kukujulisha kuwa kazi husika ina walakini.
Zote ki ujumla dada yangu ni kazi za ajabu ndio maana wengi wa watu wanaojielewa na kujiheshimu huwezi ukamkuta anafanya scrub au kupaka rangi ni tamaa ya urembo iliyopita kiasi na haina tija wala faida yoyote kwa mhusika.Tatizo ni kuwa mmetanguliza wivu ndio maana mnaona shida, unaona mwanamke kuoshwa miguu basi kishafanywa.
Hivi mbona sijawahi ona mkipigia kelele wale kina dada wa saloon ambao wanalaza vichwa vyenu kwenye manyonyo yao wanawafanyia scrub?
Lakini wakati wa kusugua miguu nasikia msisimko
maisha yame kuwa magumu jamani wafanye nini kama wana pata ulajiKumeibuka wimbi na vijana masharobaro kupaka rangi kucha na kuwaosha miguu wanawake zetu hii inapelekea kuchochea kuwatega wanawake maana wanalegea sana nakusisimka wanaposuguliwa miguu.
Mimi siku nikimkuta muosha miguu au mpaka rangi kucha kwangu namtoa na mbata ya kufa mtu ukipita mitaa ya Mwenge pale utakuta wanawake wamepanga foleni wanaoshwa miguu tena wanalegea balaa.
View attachment 634232View attachment 634233