wamkodowenye
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 261
- 291
Sasa tatizo lipo kwa muosha miguu au kwa anayelegea akioshwa?Kumeibuka wimbi na vijana masharobaro kupaka rangi kucha na kuwaosha miguu wanawake zetu hii inapelekea kuchochea kuwatega wanawake maana wanalegea sana nakusisimka wanaposuguliwa miguu.
Mimi siku nikimkuta muosha miguu au mpaka rangi kucha kwangu namtoa na mbata ya kufa mtu ukipita mitaa ya Mwenge pale utakuta wanawake wamepanga foleni wanaoshwa miguu tena wanalegea balaa.
View attachment 634232View attachment 634233
Kosa la vijana ni nini mkuu?Kumeibuka wimbi na vijana masharobaro kupaka rangi kucha na kuwaosha miguu wanawake zetu hii inapelekea kuchochea kuwatega wanawake maana wanalegea sana nakusisimka wanaposuguliwa miguu.
Mimi siku nikimkuta muosha miguu au mpaka rangi kucha kwangu namtoa na mbata ya kufa mtu ukipita mitaa ya Mwenge pale utakuta wanawake wamepanga foleni wanaoshwa miguu tena wanalegea balaa.
View attachment 634232View attachment 634233
Uajabu wake nini?Wanapata kipato. Lakini daah kazi ya ajabu hakika
Mkuu... kila kazi ina faida yake ndo maana sijapinga kuwa hawapati hela. Kwani hata kuokota chupa za maji pia kuna hela. Lakini si kila kazi mtu ataifanya kwasababu tu kutafuta kipato. Kama ni hivyo basi hata Dada poa atakuambia usiku mmoja anapata Laki 2. Je tutaridhika dada zenu na hali hiyo?Uajabu wake nini?
Yani hapo kuosha tu miguu kupaka rangi kichwa kimoja ana elf kumi yake, kwa siku akipata vichwa kumi????
We mwenye kazi isiokua ya ajabu hiyo hela unaingoja mwisho wa mwezi
Huyo ni mbwiga Mbona Nasis Wadada wanatufanyia Scrub, Massage na Kuoshwa miguu pia tena Saloon falaga na wanakuwa wadada warembo masister du wa hatari . wake zetu ukienda naye anaweza kumpiga kibao so . Pambana na haliyako vjna wanatafuta RIZIKI kama wewe unaponda kokoto unaona vjana wana kula kwa mlija Rangi zipo nyinyi changamkia fulsa na itakusaidia sana maana na mkeo utakuwa unampaka wewe mwenyewe [emoji120]Unawaonea hawa vijana maana kwa siku wanatengeneza wadada hata 10, pia kazi inahitaji customer care, usafi na utanashati. Ila kama unaona wivu basi muoshe mkeo mwenyewe kama mm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaheshimu misingi ya kazi na nizamu yakeHalaf unakuta dada kavaa kimini mpaja wote upo nje...sijui wanaweza kuvumilia vp tu hali ile
Mm nlikuwa pm tu nachat na mtu nikawaza na hili joto atakuwa hajavaa nguo nkadinda ss hawa vijana muda wote wanaangalia chini tu