Hawa vijana waosha kucha na miguu wanawake hivi wamekosa kazi nyingine za kufanya?

Haha
Kuna mmoja namuona mtaa wa pili hapa sa hii ati anapaka mwanamke wa mtu rangi usiku huu!!! Daaah
 
Haha
Kuna mmoja namuona mtaa wa pili hapa sa hii ati anapaka mwanamke wa mtu rangi usiku huu!!! Daaah
Shida. ni huyo mke wa mtu kwanza hajiheshimu na wala hana nidhamu kwa mumewe.
 
Uajabu wake nini?
Yani hapo kuosha tu miguu kupaka rangi kichwa kimoja ana elf kumi yake, kwa siku akipata vichwa kumi????
We mwenye kazi isiokua ya ajabu hiyo hela unaingoja mwisho wa mwezi
Dada yangu una mtu wa karibu ni mpaka rangi nini?
Maana ni kama unavuta kamba kwao.
 
Dada yangu una mtu wa karibu ni mpaka rangi nini?
Maana ni kama unavuta kamba kwao.
wala sina ila nawasifu kwa kazi yao, mimi na kuamka kwangu asubuhi naenda kazini siingizi hela anayoingiza mpaka rangi.
Sasa kati ya mie na mpaka rangi nani mwenye kazi ya uajabu?
 
wala sina ila nawasifu kwa kazi yao, mimi na kuamka kwangu asubuhi naenda kazini siingizi hela anayoingiza mpaka rangi.
Sasa kati ya mie na mpaka rangi nani mwenye kazi ya uajabu?
Uajabu wa kazi husika huwa hatuangalii sehemu moja kigezo cha kulipwa hela kwa siku au kupata hela kwa siku haifanyi kazi husika kuwa inakubalika kwa mfano wabeba zege, kondakta na hata mpaka rangi pia. Ila uajabu wa kazi tunaangalia mazingira husika, maadili ya kazi kwa macho ya jamii, nguvu kazi inayohitajika, masaa ya kazi na usalama wa kazi husika.
Tukimchukua mpaka rangi kuna vigezo hapo vinamkaba ndio maana kazi hiyo inaonekana ya ajabu na tena hatarishi.
 
Kuna demu huwa tukikutana nikimshika miguu tu nyege zinampanda hadi anataka kulia. Halafu eti kila wakati anang'ang'ana kwenda kupaka mirangi yao hiyo! Tulikuwa tunagombana mno lakini baadae nikaona ufala, mtu sijamuoa halafu tupelekeshane! Siku hizi ni wa emergence tu...

Ila kwa mke sitokaa niruhusu ujinga huo...
 
Unamaanisha hiyo kazi haina maadili?
 
Kazi nzuri sana hii, ila yahitaji moyo.
 
Unamaanisha hiyo kazi haina maadili?
Dada yangu ndio maana neno maadili nimelifuatisha na maneno kwa macho ya jamii au kuleta maana zaidi ni jamii inalichukuliaje hilo swala. Kama ingekuwa ni kazi yenye maadili watu hapa wote wangeitetea lakini unaona kabisa kuna mitazamo miwili hiyo ni tosha kukujulisha kuwa kazi husika ina walakini.
 
Siku nikikuta wife anaoshwa ndio itakuwa talaka yake.
 
Tatizo ni kuwa mmetanguliza wivu ndio maana mnaona shida, unaona mwanamke kuoshwa miguu basi kishafanywa.
Hivi mbona sijawahi ona mkipigia kelele wale kina dada wa saloon ambao wanalaza vichwa vyenu kwenye manyonyo yao wanawafanyia scrub?
 
Zote ki ujumla dada yangu ni kazi za ajabu ndio maana wengi wa watu wanaojielewa na kujiheshimu huwezi ukamkuta anafanya scrub au kupaka rangi ni tamaa ya urembo iliyopita kiasi na haina tija wala faida yoyote kwa mhusika.
Na kazi zote hizo hazina maadili mbele ya macho ya jamii husika.
 
maisha yame kuwa magumu jamani wafanye nini kama wana pata ulaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…