Hawa vijana waosha kucha na miguu wanawake hivi wamekosa kazi nyingine za kufanya?

Kuna mmoja aliwahi kuniambia kwamba, yeye huwa akihitaji burudani kimwili (satisfaction) huwa anapanga kwenda kwa waosha/wasugua miguu na kucha' kisha atahakikisha anaangalia lijamaa lenye mvuto na kuliambia limuoshee/suguwe miguu........
Baada ya hapo anafumba macho na kuvuta hisia huku akisaidiwa na sura ya kuvutia ya mkaa mpaka anakitupa....
 
Kho kho kho kho
 

Dah aisee nimecheka [emoji23][emoji23][emoji23]. Eti anakitupa [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Msugua miguu nipo hapa kwa wadada wanaohitaji,

Kwa humu JF nitatoa ofa kwa wadada wawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…