Hawa viongozi wa Bavicha waliwabagua wanaYanga na kujiegemeza kwa Simba. Mapambano ya katiba mpya ni kwa Simba FC? Huu ni ubaguzi na hawafai kabisa

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Hawa vijana wanachafua mapambano ya katiba mpya kuyahusisha na Simba Fc. Huu ni ubaguzi wa kishamba na usiofaa kabisa. Hawafai hawa vijana ni washamba sana.
20220528_172946.jpg
 
Kwani katiba inasemaje kuhusu hilo? Kiongozi
 
Mwenye akili timamu atagundua kuwa licha ya wao kugombania katiba mpaya pia ni washabiki wa Simba.

Hakuna uhusiano kati ya kudai katiba mpya na ushabiki wa mpira.

Au kwa kuwa wewe ni Yanga kwa hiyo ulitaka wakae upande wenu ili kukufurahisha nafsi?
 
Ubaguzi. Bora wasingize habari ya katiba mpya kwenye soka wakati ni wanaSimba.
 
Wanavyoidai hiyo katiba mpya utadhani ikipatikana basi utatokea muujiza wa kubadili maisha yao bila kufanya kazi.

Msoto uko pale pale, hiyo katiba mpya ni kwa manufaa ya wanasiasa tu.

Sisi wananchi tupambane tuwe na hali nzuri ya kufanya shughuli zetu za maendeleo.

Otherwise ni upotevu wa muda kujihusisha na mambo kama hayo.
 
Unakuta jitu lilikua shabiki la yanga ila baada ya kua mwanachama wa chadema anahamia simba sababu kuu sio soka ila eti rangi ya jezi 😂😂.

Huwa nawashangaa sana hawa watu.
Hata wewe mleta uzi nadhani ni mmoja wa hao watu.
 
Naomba ujiheshimu.sawa?
 
Wanavyoidai hiyo katiba mpya utadhani ikipatikana basi utatokea muujiza wa kubadili maisha yao bila kufanya kazi.

Msoto uko pale pale, hiyo katiba mpya ni kwa manufaa ya wanasiasa tu.

Sisi wananchi tupambane tuwe na hali nzuri ya kufanya shughuli zetu za maendeleo.

Otherwise ni upotevu wa muda kujihusisha na mambo kama hayo.
Mpumbavu
 
wengine nao wakiingia hapo na jezi zao zimeandikwa KATIBA SIO SASA sasa tunafanyaje sijui...
 
Back
Top Bottom