Hawa viongozi washauriwe wapumzike

Jamaa wamechoka na kuchakaa balaa lakini wapi, wamegoma kabisa kukaa pembeni, watafia kwenye viti vyao vya urais.
 
Makamba,Mwigulu, Nape, Silinde, Mavunde, Ndumbaro, Ummy, Dugange, simbachawene, na Lukuvi nk na hawa watoke maan ni wahuni kwelikweli
 
Apart from being Commanders-in-Chief by virtue of their presidential titles, they are both full generals of their armies who practiced for decades from junior to the highest ranks!

Sio wa mchezo mchezo au wa kubebwa hao! Hizo ngoma achana nazo hizo. Usione nyani nzee imekwepa mamishale yasiyo na idadi.
 
Hiyo "Angalau" yani nini....wakapumzike wacheze na vitukuu
Madaraka ni kitu kingine. Yanahitaji sheria na kanuni za kuya-control. Bila hivyo ni rahisi sana kumlevya mtu na kujiona yeye ndiye anastahili tu. Ungeambiwa Mbowe aliyekuwa anahubiri demokrasia angetaka kuwa mwenyekiti wa maisha wa Chadema ungeamini?
 
mmoja anatembea kama amemaliza kusimama dede wiki iliopita na mmoja anatembea kama ananyatia nyama jikoni kwa mama mkali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…