HahahahNdugu mteja, hiyo Tsh 5,000 tumekukopesha na tutaikata pindi utakapoongeza salio
Yani sijui kuna shida gani kwenye mitandao mkuu mizinguo tuHawazidi tiGO, tiGO ni majambazi sugu, kichefuchefu, viazi, wadudu, kimeta, wajinga, zumbukuku, vilaza.
Yani kila nikiwawaza na bando zao za MB 700 kwa 1,500/=Tshs napatwa na hasira sana mamaqeee zao.
Hhahah hiyo ndo dawa mkuu unapiga kwenye mshonoNiko zangu Halotel nimerelax,nilivyonunua line kwa 5000 pamoja na kusajili nikapata ofa ya GB 12 mwezi mzima,dk 600 na sms kedekede!
Mwezi ukiisha natupa line,naenda kusajili line nyingine kwa 5000 hiyo napata hiyo mi ofa!Akili mukichwa,jiongezeni ndugu zangu!
Kabisa,wakijakushtuka nimeshaokoa kiasi kikubwa tu!Halafu nachungulia fursa ilipo pengine!Hhahah hiyo ndo dawa mkuu unapiga kwenye mshono
Ndo kilichobaki mkuu maana wanazingua sana hawa, alafu inaonekana mitandao yote sio voda tu