Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,168
- 1,549
Yaani mwalimu mzima anashindwa kabisa kutamka neno, "approved" na kutamka "apploved" hivi kweli cheti ni cha kwake kweli huyu!
Daaah....kwani cheti kinapimwa kwakutamka neno approved? ?
Mkuu nadhan upeo wake wake wa kufikiri ndo umekomea hapo,, yako mambo mengi yanayoweza changia mtu asiweze kutamka vzr baadhi ya maneno ya kiingereza, mojawapo ni lugha za asili za Makabila yetu. Hao wenye lugha yao tu wanakosea ije kuwa sisi tunaojifunza darasani.??
Yaani mwalimu mzima anashindwa kabisa kutamka neno, "approved" na kutamka "apploved" hivi kweli cheti ni cha kwake kweli huyu!
Hii hasa ndio tabia ya vijana wa ccm kuacha kujadili mambo yamsingi na kujikita kwenye mambo yasiyo na msingi, kweli ili mwana ccm hasa uvccm lazima uwe mjinga mjinga tena sana. Sidhan kwa mtu mwenye akili timamu angeweza ku focus kwenye makosa ya kimatamshi hasa ukizingati uzito wa jambo lenyewe. Hongera ccm kwa kumiliki vijana wa aina hii wajinga wajinga wasio jua la maana na lisilo maana na kibaya zaidi wote akili zenu zina fanana maana naona na kichaa mwenzio CHOO aka msalani ame like kukupa sapoti mjinga mwenzie.POLE TANZANIA YANGU.Yaani mwalimu mzima anashindwa kabisa kutamka neno, "approved" na kutamka "apploved" hivi kweli cheti ni cha kwake kweli huyu!
Mbona heading na kilicho andikwa havifanani?Maandamano na matamshi vinahusiana nini?
Yaani mwalimu mzima anashindwa kabisa kutamka neno, "approved" na kutamka "apploved" hivi kweli cheti ni cha kwake kweli huyu!