Hawa waalimu wanaodai hela kwa maandamano, nina mashaka na vyeti vyao.

Hawa waalimu wanaodai hela kwa maandamano, nina mashaka na vyeti vyao.

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
5,168
Reaction score
1,549
Yaani mwalimu mzima anashindwa kabisa kutamka neno, "approved" na kutamka "apploved" hivi kweli cheti ni cha kwake kweli huyu!
 
Yaani mwalimu mzima anashindwa kabisa kutamka neno, "approved" na kutamka "apploved" hivi kweli cheti ni cha kwake kweli huyu!

Mkuu kwan alietamka hilo neno ni Afisa utumishi wa igunga au waalim, (mwalim)? Hata hivyo it's not a big deal, lugha yenyewe sio yake, Kiswahili chenyewe tunakosea na ndio lugha yetu, ije kuwa kiingereza.

Take it easy Mkuu!!
 
Daaah....kwani cheti kinapimwa kwakutamka neno approved? ?
 
Daaah....kwani cheti kinapimwa kwakutamka neno approved? ?

Mkuu nadhan upeo wake wake wa kufikiri ndo umekomea hapo,, yako mambo mengi yanayoweza changia mtu asiweze kutamka vzr baadhi ya maneno ya kiingereza, mojawapo ni lugha za asili za Makabila yetu. Hao wenye lugha yao tu wanakosea ije kuwa sisi tunaojifunza darasani.??
 
Word...usikute mleta mada ndiye mwenye upeo mdogo
 
waalimu inabidi wapewe mikataba ya miaka miwili miwili ambayo inatakiwa kusainiwa upya kila baada ya muda kuisha,

ambaye hatotak aache...
 
Yaani mwalimu mzima anashindwa kabisa kutamka neno, "approved" na kutamka "apploved" hivi kweli cheti ni cha kwake kweli huyu!

Mbona heading na kilicho andikwa havifanani?Maandamano na matamshi vinahusiana nini?
 
Yaani mwalimu mzima anashindwa kabisa kutamka neno, "approved" na kutamka "apploved" hivi kweli cheti ni cha kwake kweli huyu!
Hii hasa ndio tabia ya vijana wa ccm kuacha kujadili mambo yamsingi na kujikita kwenye mambo yasiyo na msingi, kweli ili mwana ccm hasa uvccm lazima uwe mjinga mjinga tena sana. Sidhan kwa mtu mwenye akili timamu angeweza ku focus kwenye makosa ya kimatamshi hasa ukizingati uzito wa jambo lenyewe. Hongera ccm kwa kumiliki vijana wa aina hii wajinga wajinga wasio jua la maana na lisilo maana na kibaya zaidi wote akili zenu zina fanana maana naona na kichaa mwenzio CHOO aka msalani ame like kukupa sapoti mjinga mwenzie.POLE TANZANIA YANGU.
 
Mbona heading na kilicho andikwa havifanani?Maandamano na matamshi vinahusiana nini?

Achana naye mkuu hawa ni vijana wasio enda shule wanaontumiwa na ccm kuwasafisha humu hata kwa mabaya.unadhani kwa mtu aliye elimika na ana akili timamu anaweza kukaa na kutafuta makosa ya kimatamshi hasakwa swala zito kama lile? Watu hawajapewa mshahara tangu mwezi wa nne hadi sasa. Halafu pakashume moja eti kisantu linalipwa na ccm linakuja kuweka uharo wake hapa .inakera kwakweli kwa hali hii tanzania ipo nyuma sana na itaendelea tu maana imekusanya wajinga wengi sana.
 
sio kosa lako we we mtoa mada,il a hujui kuhusu nadharia za kujifunza lugha ya pili.(second language learning theories).soma so kukurupuka
 
Yaani mwalimu mzima anashindwa kabisa kutamka neno, "approved" na kutamka "apploved" hivi kweli cheti ni cha kwake kweli huyu!

Katika lugha kuna vitu vinaitwa alofoni na udondoshaji: unavijui hiv na ni nin mchanganuo wake na utendaji kazi wake katika mawasiliano? Kaa fikir kabla ya kutenda.
 
Back
Top Bottom