Hawa waandaa maudhui wa Ulaya na Marekani siwaelewi. Kama huyu wa USA

Hawa waandaa maudhui wa Ulaya na Marekani siwaelewi. Kama huyu wa USA

Doto12

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
787
Reaction score
1,394
Hawa jamaa wamekuwa mabeberu. wanaona sisi hatuna kazi za kufanya tununue MB tuangalie sarakasi.zao mtandao. Nina wablock kabisa.

Wanaona sisi ni vyanzo vyao vya mapato. bora hata yule aliyejapani.

Kuna mmoja sijui anaitwa kakulilo sijui mamboa anayotuma ni bery expensive nilimblick kitambo, sasa naona kuna mwingine mkenya yupo kanada.

Niwaambie tu, akitengeneza maudhui yeye anaapata sana wewe jnapoteza pesa na muda wako.

Naona utapeli, bora wale wanaotoa elimu mbalimbali
 
Mkuu mtandaoni ni dampo la kila kitu unachagua wewe cha kuzoa sasa kwanini uanzishie mpaka thread..we jua content ziko za haina mbili tu entertainment na education basi ....sasa mpaka ututangazie pages zako wakati kuna maelfu ya channels
 
Back
Top Bottom