Hawa Wabunge wa ovyo ni zao la Udikteta Uchwara awamu ya Hayati Magufuli

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Ukweli usemwe Rais SSH hana baya saana ukilinganisha na yule, mkatili wa kihistoria nchini Tanzania.

Hakuna asiyekumbuka mikwala ya Magufuli kwa wakurugenzi kuhusu uchaguzi na kuwatisha kumtangaza Mpinzani kama mshindi, ni wapumbavu tu ndio wataamini Professor J, Zitto, Mnyika, Sugu, Heche, Mdee, Bulaya, Mbowe, Mnyika, Lema, Boniface, na miamba wengine wa vyama vya upinzani kushindwa uchaguzi wa 2020. Hawa wote waliporwa ushindi wao kwa dhuluma za mwendakuzimu.

Laana ya dhuluma ndiomana bunge lina watu vilaza, hawajui chochote.

Magufuli aliharibu uchaguzi wa 2020 na laana ya dhuluma ikamtafuna mapema sana. Imebaki story tu ya mwendakuzimu

kivyovyote wasiokubali huu ukweli waende chato wakamuulize yule Dikteta Uchwara.

Wafuasi ndezi wa mwendakuzimu tukutane kwenye comments.

Bora niwe Mpambe wa SSH kuliko kumsifia Dikteta Uchwara yule.

Wadiz
 
Ukweli usemwe Rais SSH hana baya saana ukilinganisha na yule, mkatili wa kihistoria nchini Tanzania.
Unapoamini hivi wewe ni fala wahed tu ni zuzu wa taifa. Huo mkwala wa Magufuli kwa wakurugenzi ungekuwa ubatili mama Abdul angeubatilisha leo leo tu.

Nakushangaa unapokaza kuhusu Magufuli kuharibu ilihali mwenye uwezo na mamlaka ya kubatilisha alichofanya Magufuli akiendelea kunufaika na hayo alivyofanya Magufuli, hapo yeye na watu wake ndio wanaokula mema ya nchi, wewe unakaza kulaumu maiti, wanaokula keki wapo hai wanakula kwa raha zao.

Ikiwa Magufuli alifanya kosa kwa kuharibu uchaguzi halafu mama Abdul analitumia bunge hilo hilo kupitisha mikataba mibovu na posho za mahawara, huku wewe ukimsifia mama Abdul na kumponda Magufuli wewe ni fala wahed zuzu tu.
kushindwa uchaguzi wa 2020. Hawa wote waliporwa ushindi wao kwa dhuluma za mwendakuzimu.
Hao waliopirwa ushindi kwa nini mama asiwarudishie ushindi? Unapomlaumu Magufuli aliyelala mauti kuwa ndiye mporaji, wewe fala tu zuzu wahed 😁 b
Laana ya dhuluma ndiomana bunge lina watu vilaza, hawajui chochote.
Bunge likiwa na vilaza wewe pia ni kilaza nguli wahed.
kivyovyote wasiokubali huu ukweli waende chato wakamuulize yule Dikteta Uchwara.
Tayari umetuthibitishia kuwa wewe una tatizo la afya ya akili kuruka
Bora niwe Mpambe wa SSH kuliko kumsifia Dikteta Uchwara yule.
Kuruka mkojo na kwenda kukanyaga kunyesi ni kawaida kwa Mazuzu na mafala wote.

Kila la kheri kwa chaguo lako la kifala wahed.
 
Sawa kibwengo Mdundiko nenda kahiji kwa mwendakuzimu
 
we ni miongoni mwa raia very hopeless acha uvivu na visingizio
 
Kuna ambao nimesoma nao sekondari nawafahamu vizuri uwezo wao darasani. Cha kushangaza niliona wamepitishwa na chama chao kugombea ubunge na wakapita wakawa wabunge. Huko bungeni ni kama midoli tu hawana cha kuchangia chenye mantiki. Huenda ikawa ni mara ya mwisho kuwa wabunge kama watagombea na wenye akili kuwazidi. Mtu anakuwa mbungu hata ishirini bora darasani hajawahi kuwa, bungeni ataweza nini?
 
Ni mtazamo wako tu, lakini kwa anayeijua Tanzania vizuri hawezi kusema habari za udikteta uchwara
 
Sisi wa kwetu hata darasa la saba hajamaliza akakimbilia kulima vitunguu akapata fedha kidogo ya kuwahonga wajumbe ccm wapitishe kura ya maoni,ndiyo mbunge asiyejua kiswahili na bungeni anakaa tu.
 
Uwa najiuliza kwa nini pamoja na kuwa dikteta wa kiwango kile cha kutisha lakini bado aliitwa dikteta uchwara. Au labda tatizo ni mimi ndiye sijui maana ya neno uchwara.
 
Sawa mungu wa msoga tumekusikia.
 
Wabunge wengi mule ni weak

Ova
 
Huo uchaguzi batili si alichaguliwa pia na huyu Mama yako unayemuamini? Kwanini asijiuzul
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…