Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Huu ni muda wa kuyafanyia marekebisho baadhi ya masuala ya uongozi.
Hawa viti maalumu ambao wengi wao ni ndugu wa viongozi wakubwa hawana mchango wowote kwenye mchakato wa kibunge.
Wao wanatafuta namna ya kuwafutahisha either waume zao ama wapenzi wao ama ndugu zao waliopo kwenye nafasi za juu za kisiasa na kuwateua.
Ni wakati Sasa nafasi hizi za uwakilishi zikawa wazi kinamama wenye uwezo na kutoka uwakilishi wa makundi yote wakashindanishwa kupitia mchakato wa wazi ambao utatupa wawakilishi walio makini.
Madharani CCM Ina wabunge wa namna hii 94 na upatikanaji wao ni wakimagumashi usio na maana yoyote kwa vijana, wazee ama kina mama waishio vijijini ambao wengi wao ndiyo wanakutana na matatizo ya Uzazi, ukosefu wa maji safi na salama, unyanyasaji wa kijinsia pamoja na Mila kandamizi lakini hawapati nafasi ya kusemewa na Hawa wanawake waliopo bungeni.