Pre GE2025 Hawa wabunge wa vitu maalumu watafutwe kwa utaratibu mwingine, hatuwezi kwenda kama hatuna akili timamu

Pre GE2025 Hawa wabunge wa vitu maalumu watafutwe kwa utaratibu mwingine, hatuwezi kwenda kama hatuna akili timamu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
Huu ni muda wa kuyafanyia marekebisho baadhi ya masuala ya uongozi.

Hawa viti maalumu ambao wengi wao ni ndugu wa viongozi wakubwa hawana mchango wowote kwenye mchakato wa kibunge.

Wao wanatafuta namna ya kuwafutahisha either waume zao ama wapenzi wao ama ndugu zao waliopo kwenye nafasi za juu za kisiasa na kuwateua.

Ni wakati Sasa nafasi hizi za uwakilishi zikawa wazi kinamama wenye uwezo na kutoka uwakilishi wa makundi yote wakashindanishwa kupitia mchakato wa wazi ambao utatupa wawakilishi walio makini.

Madharani CCM Ina wabunge wa namna hii 94 na upatikanaji wao ni wakimagumashi usio na maana yoyote kwa vijana, wazee ama kina mama waishio vijijini ambao wengi wao ndiyo wanakutana na matatizo ya Uzazi, ukosefu wa maji safi na salama, unyanyasaji wa kijinsia pamoja na Mila kandamizi lakini hawapati nafasi ya kusemewa na Hawa wanawake waliopo bungeni.
 
Huu ni muda wa kuyafabyia marekebisho baadhi ya masuala ya uongozi. Hawa viti maalumu amabao wengi wao ni ndugu wa viongozi wakubwa hawana mchango wowote kwenye mchakato wa kibunge.
Mwisho wa siku fuatilia watoto wao waliozaliwa baada ya kupata ubunge wanafanana na akina nani
 
Ndo hapo unakuja shangaa maigizo ya Salum mwalimu kumfukza mzaz mwenza,mara kigaila na mkewe pika pakua ndo eti amjadili covid-19.
Ni maigizo tu, at least CDM sasa kitaanza beba sura ya kitaifa maana nayo ilianza kuishi maisha ya U-CCM-B
 
Whether we like it or not trump austerity measures will change a lot of government spendings in Africa
 
Back
Top Bottom