Hawa wachezaji wa arsenal hivi kweli wafamilia inayowategemea?

Hawa wachezaji wa arsenal hivi kweli wafamilia inayowategemea?

"Arsenal wamechana mkeka" ndio sababu?
 
Write your reply...

kwani we everton unawachukulieje?
 
walikuwa wanacheza na wacheza bao au wacheza mpira wenzao, game zingekuwa zinachezwa kwenye karatasi kabla ya mechi kungekuwa hakuna haja ya kuingia uwanjani, mwanzo wa ligi kila mtu anachukua nafasi yake kwa uwezo wake wanaendelea na mengine.....
 
Arsenal kuna wakati wanakera sana,ila huwa ni kama kuna njama flani zinafanyika ili kuiangusha,yaani timu hata zile unazojua hapa mtapata points zikicheza na Arsenal zinakomaa hatari...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wachezaji wa arsenal hivi kweli wafamilia inayowategemea? Wanashindwa nini kujituma uwanjani badala yake wanakuwa goigio kiasi hiki? Ningekuwa Mimi ni kocha wao Leo wangekula vimbo za Uhakika

Sent using Jamii Forums mobile app
Mamaye zao nimeliwa hela ndefu kwenye betting sababu yao.
 
Back
Top Bottom