Yanga imekujaje kwenye uzi wa Arsenal?
Na nyie mashabiki wa Yanga mmekujaje kwenye uzi wa mashabiki wa AsernalYanga imekujaje kwenye uzi wa Arsenal?
Anatafuta matusi kwa nguvuYanga imekujaje kwenye uzi wa Arsenal?
Nina ķitambisho cha yanga hapa?Na nyie mashabiki wa Yanga mmekujaje kwenye uzi wa mashabiki wa Asernal
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepanic!relaxNina ķitambisho cha yanga hapa?
Mbona unateseka we jamaa
Mashoga.Hawa wachezaji wa arsenal hivi kweli wafamilia inayowategemea? Wanashindwa nini kujituma uwanjani badala yake wanakuwa goigio kiasi hiki? Ningekuwa Mimi ni kocha wao Leo wangekula vimbo za Uhakika
Sent using Jamii Forums mobile app
Usifananishe taka na vitu vya hovyo hovyo! Taka ni mbolea!
[emoji23][emoji23]bora taka kuliko...nanilii wanapata tabu sana,wanachakaaUsifananishe taka na vitu vya hovyo hovyo! Taka ni mbolea!