Hawa Wadada wa NPS wanaotoza Ushuru Gari zinazopaki Barabarani wamefaulu vyema Somo la Customer Care?

Hawa Wadada wa NPS wanaotoza Ushuru Gari zinazopaki Barabarani wamefaulu vyema Somo la Customer Care?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wengi wao.....

1. Wana Hasira (Usununu)
2. Wakali
3. Wajeuri (Ngumi Mkononi)
4. Wana PhD"s za Matusi
5. Hawajui Kutabasamu
6. Wana Stress na Frustrations
7. Mabingwa wa Kugongea Misosi ya Watu na Kulazimisha kupewa Lifti nyakati za Jioni / Usiku

Kuna Mmoja nimekutana nae mahala nimemchanganyia Mihasira yangu ya Kimusoma (Mara Region), Gongo niliyokunywa na harufu ya Bange niliyopishana nayo katika Dirisha la Mtu na kwa majibu yangu niliyompa atakuja Kuwasimulieni Ofisini Kwenu na sina uhakika kama Kesho atakuja tena hapa tulipokutana leo kwa Majibu niliyompa.
 
Gentamycine upo sahihi. Si hao tu, hata Bank Customer Care wadada huwa na hasira hasira na wakaloli sana(wengi ila siyo wote)
 
Back
Top Bottom