Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,051
- 5,104
Kiuno mkuu!Nikimuona Diamond na kina Kiba na wanamuziki wengine wakila bata najua ni mziki wao unawalipa. Ila kuna hawa watu maarufu huko Instagram kama kidada fulani Tunda na wengine, picha zao zimekaa kibatabataaa lakini niulize huwa wanafanya kazi gani maana hata kama ni kuimba kama hata wamewahi jaribu bado hawana majina makubwa, hawaonyeshi kumiliki labda hata mabiashara.
Hebu jamani kama wapo humu watuambie kazi zao maana hata kulalama njaa kama wengine wanaolialia hawasikiki.
Tafakuri tu japo ni maisha ya watu hayanihusu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kiuno mkuu!
Tunda babake askar tu alikuwa anaitwa sabasita wakati anafanya kaz Moro ..watoto wanatumia viungo vyao vizuri haooo hahahaaaMkuu hao huenda watoto wa mabilionea walisha tafutiwa maisha na wazazi wao!
haaaa!!!!! Hivi kumbe huyu Tunda ndo yule mtoto wa Sabasita.....!!!!! Ama kweli maisha yanakwenda kasi....mimecheza nae kibaba jmn daahTunda babake askar tu alikuwa anaitwa sabasita wakati anafanya kaz Moro ..watoto wanatumia viungo vyao vizuri haooo hahahaaa